@Labella_Mafia95 Kwasasabu Tanzania ni rahisi kupata Ardhi (Land) so kila mtu anajipangia nyumba gani ya kujenga. Kwawenzetu kupata ardhi ni mlolongo mkubwa miksa kupeleka ramani ya unacho taka kujenga .
Je ?una jua kwa wenzetu mfano tu apo Africa ya kusini hauruhusiwi kuchimba shimo la choo .
@BusesNation una toka Jobug to cape almost 1k and something kilometers ivi huwezi kukuta humps ata moja yani hukuti mpaka uingie road za mitaani yani uwe nje ya Nation road
tuta utalikuta M road manispaliti road