ASANTE MUNGU KWA HIKI KIDOGO.
Huyu mpumbavu kabla ya MAANDAMANO ya MO29 alikuwa anaita media kila siku anatisha watanzania kuwa wasiandamane.
Miezi 8 baadae anazitafuta FUTI SITA KWENDA CHINI. Alijua ataishi milele. Washenzi kama hawa wakifa ni FURAHA kwa nchi.
REPOST 200
#HABARI Treni mbili za kampuni ya East Midlands Railway (EMR) zilizokuwa zikielekea kusini kwenda London St Pancras zimegongana huku dereva wa Tren moja akifariki dunia
Kwa mujibu wa mamlaka Mashariki mwa Uingereza Watu 11 wamepata majeraha mabaya sana, 22 walijeruhiwa vibaya, na wengine 56 walipata majeraha madogo na chanzo cha ajali hiyo bado kinachunguzwa.
Katibu Mkuu wa chama cha wafanyakazi wa reli cha RMT, Eddie Dempsey, amesema chama hicho kimehuzunishwa sana kusikia kwamba dereva wa treni na aliyekuwa mwakilishi wa RMT amefariki katika ajali hiyo.
Huduma za treni za East Midlands Railway kwenda na kutoka London St Pancras zimesimamishwa kwa muda #EastAfricaTV
SITTING PRESIDENTS WITH THE MOST HONORARY DOCTORATE DEGREES:
1. 🇹🇿 Samia Suluhu Hassan - 8
2. 🇺🇬 Yoweri Museveni - 7
3. 🇷🇺 Vladimir Putin - 7
4. 🇷🇼 Paul Kagame - 6
5. 🇨🇳 Xi Jinping - 3
6. 🇰🇵 Kim Jong Un - 1
Source: Public Open Source June, 2026
Sanctioning a corporal who doesn’t even know how to spell “Britain”, has no visa, no foreign bank account and cannot travel to the UK is the usual colonial smoke and mirrors. The person responsible for the atrocities and who works for the UK, US and Israel is @SuluhuSamia.
Kwa Mujibu wa @HecheJohn Makamu Mwenyekiti @ChademaTZ2 ni kwamba hali ya kiafya ya @TunduALissu ni mbaya, Ana maumivu makali sana ya Tumbo.
Magereza awajatoa taarifa yoyote kuhusu changamoto ya Afya anayokabiliwa nayo Mhe. Lissu, na kueleza kama amepata matibabu yoyote kutokana na changamoto hiyo.
“Nakutakia upendo mwingi, rafiki yangu—nakukumbuka sana. Bado wewe ni miongoni mwa akili bora kabisa ambazo nchi hii inazo. Ninaendelea kukuombea—Mungu akupe ujasiri, nguvu na ustahimilivu wa kushinda changamoto zote zilizo mbele yako.”
“Much love, my friend—I miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. I’m keeping you in my prayers—may God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.”
Leo natimiza mwaka mwingine wa maisha, Shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kila hatua, kila somo, na kila baraka. Naukaribisha mwaka mpya wa maisha kwa tabasamu na matumaini. Happy Birthday to me!