Pep was late coming out to the pitch ended up jogging on. The reception for his last game, man. The noise. The gift from Unai Emery and @AVFCOfficial . Wow. Just legendary.
Maisha yangu hayakubaki kuwa yaleyale baada ya kukamilisha hizi changamoto 7 nilizojifanyia peke yangu:
1. April 22 Niliacha kutumia sukari.
Niliacha chocolate, niliacha soda, sukari iliyofichwa na kuongezwa kwenye juice na matunda, pamoja na energy drinks. Baada ya siku 20 za mwanzo unajua kilitokea nini? Ngozi yangu, nguvu zangu na uwezo wangu wa kufikiri vilianza kubadilika kwa kiasi kikubwa. Nilitambua kumbe sukari ndiyo iliyokuwa inadhibiti hisia zangu muda wote. Jaribu utanipa majibu!
2. Nilitumia kanuni ya kunywa lita 2 za maji kila siku.
Nilianza kunywa lita 2 za maji kila siku. Niligundua kuwa watu wengi wana upungufu wa maji mwilini lakini wanadhani ni msongo wa mawazo au wasiwasi. Kwa kuwa ubongo kwa kiasi kikubwa ni maji, niliamua kuutunza ipasavyo.
3. Niliachana na skrini baada ya saa 4 usiku kwa muda wa wiki 2.
Nilianza kuweka simu chini ifikapo saa 4 usiku. Hakuna kuangalia video za reels, hakuna kusoma messages yoyote. Akili yangu hatimaye ilipata lile pumziko ambalo ilikuwa inaliomba kwa muda mrefu. Acha domscrolling, mida usiku at least dakika 30 kabla ya kulala ni muhimu sana kwa afya yako.
4. Nilitafakari (Meditate) kila siku kwa siku 21.
Zilikuwa dakika 10 tu kwa siku. Nilikaa, nikapumua, na kutulia. Ule msongamano wa mawazo niliokuwa nauhisi ndiyo ulikuwa sababu hasa iliyonisukuma kufanya hili, na lilinisaidia sana. Nilikaa na upweke wangu huku nikiandika mawazo yangu! Hii inasaidia sana. Mungu hunena katika kimya.
5. Nilijizoesha kuoga maji ya baridi kwa siku 30.
Nilimalizia kila kuoga kwa sekunde 60 za maji baridi. Hili lilifundisha akili yangu kubaki katika udhibiti na utulivu hata ninapokumbana na hali ngumu. Hii code niliiba kwenye mafunzo ya kijenzi, ni nzuri sana na hua inampa mtu ukakamavu wa kukabiliana na changamoto za hapa na pale kwenye maisha.
6. Nilianza kutoweka kwa masaa 3.
Mara moja kwa wiki, nilijitenga kwa masaa 3. Hakuna simu, hakuna watu, ilikua ni mimi tu. Hapa ndipo nilipata uwazi wa mawazo na kupata muda wa kukaa peke yangu na kujitafakari. Hapa nilijifunza jinsi ya kuinyamanzisha sauti iliyopo kichani mwangu maana mimi ni overthinker mbaya sana😂
7. Niliandika kumbukumbu zangu kwa siku 30.
Kila usiku, niliandika nilichokifanya, kilichonichosha, na kile ambacho ningefanya tofauti. Kufanya hivi kulinisaidia kugundua mifumo ya maisha yangu ambayo watu wengi huchukua miaka mingi sana kuielewa.
Sijafika ninakwenda ila muelekeo nauona!
Kuna dada mmoja wa kiarabu kaniuzia perfume nililalamika bei akasema nenda utarudi kunishukuru, aisee hii perfume ni kiboko, nguo toka ijumaa imefuliwa na bado inanukia🙌🏾🥰
Power doesn’t come from the arms, it start from the ground up 🥊 Iron Mike Tyson showing exactly how bending at the knees and hips loads up that devastating power. Modern fighters take note.
I don't know about you, but I'm taking this little wing monster at Chelsea.
I'd preferably want Yildiz, but it's going to take a whole lot of work getting him out of Juventus.
Mika Godts ✨🔵 https://t.co/5aFCkmBZuL
Top 10 ya Matajiri wote Barani Africa walianza kutengeneza mifumo ya kupata cash flow kabla ya kuingia kwenye ununuzi wa HISA za makampuni, halafu unakutana na kijana hana hata umiliki wa mashine ya kukamulia Juice ya miwa ana paparikia HISA. Ni ugeni au ukosefu wa elimu sahihi?