AFRICAN MUST WATCH THIS.👇🌍
we will not allow sub saharan africa to escape debt
The job of western academics is to convince africans, they have to keep doing what they are doing, and to show them "it's your fault that you're poor, it's not our fault"
we can not afford to allow africa to industrialize and start producing manufacturers.
After colonization ended, we needed new structures to keep these countries where they were. And the only way is aid, we will give them money, power and guns.
IMF is stills colonizing africa
Offering loans, and if the president did not accept that loan, they were killed. And he gives two examples of president who were killed, when they did not accept the loan. So the lending is also very important to trap the country
Self improvement kwa Mwanaume sio option ni wajibu.
1. Ongeza thamani yako kila siku,
2. Imarisha mwili wako kila siku,
3. Ongeza maarifa kila siku,
4. Imarisha mindset yako kila siku.
Self improvement ni vita ya kimya ya kujitengeneza kuwa bora kuliko jana.
Kile unachokubali ndani kabisa ndicho subconscious mind yako inakifanyia kazi.
Kwa hiyo sasa
1. Linda mawazo yako,
2. Linda maneno yako,
3. Linda beliefs zako,
4. Linda emotional state yako.
Kwa sababu subconscious mind
Haijui “huu ni utani”
Haijui “hii ni exaggeration.”
Ina-absorb kile unachorudia mara nyingi kwa hisia.
Hii ni sheria.
Wanalazimisha sana, wanatumia nguvu kubwa mno kuifanya ionekane hii ni vita kati ya chadema na utawala!! Sio Kweli!!
Chadema wala hahusiki katika hili, alikaa zake pembeni!!
Hii ni vita Kati ya wananchi na utawala!!!
Hata hao mnaowataja kuwa ni wahamasishaji hakuna hata mwenye kadi ya uanachama wa chadema!!
Hii ni wananchi vs serikali!!
Msitulazimishe wananchi kununua bidhaa k/koo wakati tumegundua kuna soko Guangzhou China🤣 Manake kama mnaimba copy za Amapiano toka SouthAfrica why tusisikilize Amapiano OG toka Jozi... Au tuache kusikiliza hits za Nigeria tuanze kusikiliza zenu wakati mnasample za Nigeria👊👊
My fellow Tanzanians mnaotukejeli, kutudhihaki, kutubeza na kutukebehi sisi tunaopambania haya mabadiliko!!
Plus wote mnaotaka kutuua, kutupiga, kututeka, kututesa na kutufunga sisi tunaopigania haya manadiliko!!
MNAKOSEA SANA MNAKOSEA MNO!!
Mnaweza msione umuhimu wa haya tunayoyapigania leo kwa sababu ya nafasi mlizoko sasa……..!!
Siku moja mtaona umuhimu wake na itakuwa too late…..mtatamani mngetuunga
mkono!!!