AFRICAN MUST WATCH THIS.👇🌍
we will not allow sub saharan africa to escape debt
The job of western academics is to convince africans, they have to keep doing what they are doing, and to show them "it's your fault that you're poor, it's not our fault"
we can not afford to allow africa to industrialize and start producing manufacturers.
After colonization ended, we needed new structures to keep these countries where they were. And the only way is aid, we will give them money, power and guns.
IMF is stills colonizing africa
Offering loans, and if the president did not accept that loan, they were killed. And he gives two examples of president who were killed, when they did not accept the loan. So the lending is also very important to trap the country
Madaraka Nyerere anaandika, "Yapata miaka 7 iliyopita kuna kipindi nilikuwa natumia usafiri wa basi kwenda Musoma kazini na kurudi nyumbani Butiama. Siku moja, nikiwa ndani ya basi ambalo lilikuwa linapakia abiria Musoma aliingia mvulana anauza karanga.
Nilimuuliza kwanini hakuwa shuleni, akanijulisha yuko likizo na alikuwa anauza karanga kwa niaba ya bibi yake aliyekuwa anaishi Musoma. Alinijulisha kuwa darasani huwa anaongoza wanafunzi wenzie tangu aanze darasa la kwanza. Wakati huo alikuwa darasa la tano. Nilimuahidi kuwa mtihani utakaofuata akiwa wa kwanza ningemnunulia baiskeli.
Nilimhoji sababu ya kuishi na bibi yake, alinijibu kuwa wazazi wake wanaishi Butiama. Nilipouliza jina la baba yake nikabaini kuwa amemtaja binamu yangu, mtoto wa shangazi yangu Nyakwe.
Niliyemuahidi baiskeli sasa hivi ni mwanafunzi wa kidato cha sita na anaendelea kuchanja mbuga kusaka elimu. Na bado anaongoza darasani.
Sikumbuki kumnunulia baiskeli, lakini kila anaponiomba kulipia baadhi ya gharama za elimu yake huwa najitahidi kumsaidia.
Mwalimu Nyerere alisema: “Elimu siyo nyenzo ya kuutoroka umaskini, ni njia ya kupambana nao.”
Made in Shinyanga! 🇹🇿🔥
Kijana mbunifu anayejulikana kwa jina la MZAZI amejibu mapigo ya bro @masoudkipanya kwa kubuni gari la kubeba mizingo.
Gari hili lina uwezo wa kubeba mzigo wa hadi tani 1.5 — sawa na complete moja ya karasha la kuchakata mawe ya dhahabu.
Ubunifu na uthubutu — Shinyanga tunatoboa na Mzazi Car💪🏾😀
Ni miaka 5 sasa tangu aliyekuwa Mwenyekiti wetu, Maalim Seif Sharif Hamad atanguliye mbele ya haki.
Tunaendelea kuukumbuka uongozi wake na mchango wake katika kukijenga chama chetu.
#MaalimSeif#ACTWazalendo
Usiache kufuatilia kipindi Cha Power Bank ndani ya Bongo Fm ni kuanzia saa 3:00 asubuhi siku ya kesho tarehe 18 Februari, 2026. Kiongozi wa Chama cha @ACTwazalendo Ndugu, @SemuDorothy atakuwa mgeni katika kipindi hicho.
#TaifaLaWote#MaslahiYaWote
Nakumbuka niliwahi kuwaambia my success mara nyingi huwa haiji kwa kuwa na idea moja kali bali kama idea 20 hivi halafu 2 tu zinatoboa ila unaishi nazo hata miaka 2 huku unapanga nyingine.
Kufeli idea ni kufeli idea tuu, sio kufeli maisha.
Inatia moyo sana kuona Wasanii wapo serious ku-elevate viwango vya show na bidhaa zao kwa ku-incorporate live music performance & recording.
Juzi ndani ya masaa 24 nimekutana na Weusi, Harmonize na Mbosso, ambaoo kama sio rehearsal ya kwaajili ya show, basi ni Live recording.
More artists wakiwa hivi, hatutokuwa haba!!