🔴Wanasiasa wanataka kuweka mtu wao ili iwe Rahisi kupenyeza agenda zao
Walafi wa madaraka wanataka timu ibaki Mali ya wanachama 100% ili waendelee kupiga wajisikiavyo
Wafanyabiashara wanataka Hisa kupitia mlango wa nyuma wamewagawa Viongozi kwa ahadi za kuwapoza wakifanikisha