Bro una akili?? Am sorry i thought uko na brain kidogo despite yakuwa side ya wahuni.
Anyway hilda ni TBC? Yeye ndo alipinga kesi kutoonyeshwa na vyombo vya habari?? Kwanini usidemand serikali yako ionyeshe iyo kesi wazi ili usiwe misinformed??
These people are STUPID.
Yani mchana ulalamike kwenye jukwaa kuwa Samia anateka na kuuwa maelfu ya watanzania, ikiwemo viongozi na wanachama au wafuasi wako, halafu usiku uwe nyumbani kwake unakula dinner kwa sababu siasa sio uadui?
Watu kutekwa, kupakaziwa kesi, kuuawa, etc., kwako ni siasa?
Acheni masihara bhana!!
HATUNA SIASA Tanzania labda kama una yako unayoijua.
Tuna upande mmoja unaoteka na kuua wengine na tunaupande unaofanyiwa hayo.
That’s not politics, and you shouldn’t analyze it as one.
Mtekwe, mpotezwe, muuwawe mchana kweupe, mfirwe, mfungwe jela, mfungiwe chama,mfungiwe kufanya mikutano.....halafu bado unaita hizo ni SIASA?
UNA AKILI AU MATOPE?
I’m More Than Proud Knowing Mimi Ndo Mtu Nilie-influence Watu Twita Kujua Na Kupenda Sana Muvi, From The Very Beginning. I Was The One Who Started It.
Hata Siku Nikifa, Naacha Legacy, Watu Wengi Kutwit Kuhusu Muvi/Series Kwa Mtindo Wangu,
I'll say this again, she's not bad at her job cause she's a woman. She's bad at her job simply because she doesn't have the right skill set nor the capacity and also cause she is evil. Idc about gender, just give it to someone 𝗰𝗼𝗺𝗽𝗲𝘁𝗲𝗻𝘁.
Wafuasi wa MBOGAMBOGA wenyewe wamechanganyikiwa kama raia wengine tu. Hata wao hwaelewi mambo yanayotokea. Wanashangaa mtandaoni tu. Mambo ni mzobe mzobe. Ipo hivi, hamuwezi kuua watu wengi kwa kiwango kile halafu mkatawala watu kwa amani na utulivu. Damu za watu zitawatesa sana.
Huyu kwenye picha Anaitwa peter Richard mushi kazi fundi simu Kkoo
alipigiwa simu na mtu tr 13/8/2026 na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mteja anaitaji kutengenezewa simu
Alimwelekeza alipo lakini mteja akataka ndugu peter amfuate maeneo ya china plaza alipofika china plaza 👇🏻RT
HISTORIA HAIKUMBUKI MACHAWA
Nimeona clip ya MWIJAKU akikejeli jitihada za Wanataaluma kumsaidia mwenzao ambae anashikiliwa na Polisi. Amebeza kiasi cha fedha kilichochangwa, na kuweka msisitizo wa kutahadharisha watu kwenda kinyume na matakwa ya WATAWALA, maana watakamatwa na hela za kujichanga zisitoshe.
Sijataka kuiweka Clip hapa maana nitakuwa naisaidia kufika mbali. Ila hii level ya UCHAWA ni lazima tuikemee!
Kama wewe hauna kitu ambacho unakisimamia, hauna principles wala muelekeo kama MTU HURU au mwanaume aliyekamilika, basi usitie neno/kauli kwenye Harakati za Watu ambao wanajitambua.
Kama wewe umeamua kujivunjia HESHIMA, KUUZA UTU wako, na KUINGILIWA MAKALIONI ili uishi SOFT LIFE, jua kuwa wengine wanakula na kuishi kwa jasho kama isemavyo BIBLIA (na naamini QURAN pia).
Wewe ambae unawachekaga Chawa Wenzako kuwa hawajasoma na wewe ni Msomi, alafu unakuja kuwadhihaki Wasomi ili uwafurahishe Watesi wao? You are an enabler of a repressive regime, which makes you as guilty as they are!
HELA sio kila kitu maishani! Na historia ya dunia haikumbuki hela bali UJASIRI, MSIMAMO, FALSAFA, MABADILIKO, KUJITOA KAFARA, etc MANSA KANKAN MUSSA alikuwa tajiri ila hamna anayemuwaza kwenye ulimwengi wa ELON MUSK
Hakuna CHAWA aliyejengewa Sanamu wala kuandikwa kwenye Kumbukumbu. Ila MASANAMU, VITABU, MITAA NA MAJENGO yanaimba story za Thomas Sankara, Che Guevara, Patrice Lumumba, Martin Luther King, Malcolm X, Steve Biko, nk. Na wameuwawa hata shilingi 10 hawana!!
Na amini nakwambia, Miaka 100 mbele, MWIJAKU hutokumbukwa, ila HUMPHREY POLEPOLE, DEUS SOKA, MDUDE NYAGALI, BEN SAANANE, CHRISTOPHER MTIKILA watakumbukwa kama tunavyowakumbuka KINJEKITILE NGWALE, CHIEF MKWAWA, NYERERE…
And by the way, Maisha niliyoishi mimi, Maria Sarungi, Mange Kimambi, nk wewe hata robo hujaishi, but still chose to stand on what’s right.
Dar Es Salaam umeanza julikana 2018 sijui, ndio uje kutaka kufundisha watu Maisha na kuongelea Hela? smh
KAMA HAUNA LA MAANA LA KUSEMA, KAA KIMYA
The Leader
Ni mtu mjinga pekee ndio atatafsiri kauli ya Heche alimaanisha hataki watu washabikie soka….
What we are emphasizing here is we as vijana ambao ndio nguvu kazi na ndio kundi kubwa nchini, to prioritize the fundamental issues facing our country, before focusing on those petty issues za udaku, michezo na burudani!!
Kuna mambo ukiyakosa kwenye taifa yanaenda kuathiri uhai wako na maisha yako wewe na familia yako directly!
Mfano taifa likikosa siasa safi, utakosa huduma bora za afya hospital, mtoto wako ataumwa ghafla na atakufia mikononi ukiwa mapokezi, kwa sababu tu hospital haina madawa.
Ukikosa siasa safi, siku moja utasingiziwa kesi na utakaa mahabusu miaka 8 hadi 10 ukingoja ushahidi utimie, utashinda kesi ukiwa na miaka 55…its too late homeboi life limeshakutia dole (am sorry)
Ukikosa siasa safi watoto wako watakosa elimu bora shule, nawewe baba & mama mtatandikwa makodi left&right kiasi ambacho wenyewe mta-opti kufunga biashara na kuanza kulaumu hawa tunaowalaumu sisi sasahivi!!
Swali ni je….ukikosa mechi ya simba na JKT inaweza kufanya upoteze uhai wako?🤷🏿
Ukikosa kufuatilia story za Yanga day kwa wiki nzima itaathiri vipi elimu ya mwanao?
Haitaathirika familia yako kama ukikosa story za udaku na burudani!!
Sijamaanisha tusishabikie michezo na burudani……lakini kisiwe kipaumbele chetu na kuacha ku~focus kwenye issues tangible’s zinazogusa maslahi ya maisha yetu na familia zetu!!
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
Hello @afcbournemouth
I’m Olaogun, a winger also played as a striker from Nigeria.
I’m not asking for a contract. I’m asking for 7 days on trial to show you what I can do. If I’m not good enough, I’ll walk away with no hard feelings.
I’m fast, direct, and I work harder than anyone on the pitch.
My highlights are here: https://t.co/nD68FCLsMn
Thanks,
Olaogun
|
Fabrizio Romano hate is so forced.
You all criticise him but you’re the first always looking for his news and updates. We don’t give him enough credit because typically journalists only cover certain leagues or regions, he does it ALL.
Yes, he’s not the conventional journalist in the sense that he only reports news, if you prefer those people follow them. He’s clearly a lover of football and fan like the rest of us.