Beach hats zipo dukani🔥🔥
Nzuri sana na unique🙌🏾
Price: 16000 Tshs tu
📍Sinza Mugabe barabara ya kuelekea mawasiliano
Call/whatsapp direct >0717004194
#beach#beachhat#beachwear#beachhatstz
Beach hats zipo dukani🔥🔥
Nzuri sana na unique🙌🏾
Price: 16000 Tshs tu
📍Sinza Mugabe barabara ya kuelekea mawasiliano
Call/whatsapp direct >0717004194
#beach#beachhat#beachwear#beachhatstz
Pongezi kwa Tabora Manispaa kwa kumaliza ujenzi wa madarasa 74. Bila shaka wanafunzi WOTE 4,922 waliofaulu Mitihani ya Darasa la 7 mwaka 2021 ktk Manispaa hii kuanza Form 1 siku moja Jan 2022. Waliomaliza Form 4 Tabora Manispaa 2021 ni 2,579.Hivyo kuna ongezeko la wanafunzi 2,343
IS OMICRON IN DAR ES SALAAM, TANZANIA?
Several Hospitals in Dar es Salaam have received this week many patients with complaints of Fever, Flu, Chest Pains, Fatigue and Headaches.
The government says it is monitoring the situation closely and people should not worry.
Waziri wa Madini, Doto Biteko ni miongoni mwa wahitimu 42 waliotunukiwa Shahada ya Udaktari wa Falsafa ( PhD) katika Chuo Kikuu Cha Dodoma na Mkuu wa chuo hicho Dk. Stergomena Tax. Ni katika mahafali ya 12. Sasa ataitwa Dk. Biteko
OMICRON by Israeli MOH, yesterday=89 patients
76% of omicron are 3rd boostered, 24% unprotected.
General population VACCINATION:
58% 3rd boostered, 42% unprotected (9% twice vaccinated)
Highly suspected as Omicron=239,
60% of are ASYMPTOMATIC. Lack of symptoms is the key.
Ni vigumu sana kumsahau huyu mzee, kwa kazi yake kubwa alioifanya kutuletea maendeleo watanzani, aliniaminisha kwenye kuweza na sio kushindwa alinijenga kuwatumikia watanzania, alikataa rushwa, alichukia vibaraka wa mabeberu wanaoihujumu nchi yetu, alimtanguliza Mungu mbele 🙏
Gari iliyokuwa inaelekea kwenye ujenzi wa Barabara ya Afrika mashariki imepotea katika mazingira ya kutatanisha katika kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga, Gari hiyo pamoja na dereva haijulikani ilipo hadi sasa.
#MsumbaNewsBlogUpdates
Kinshasa, DRC – Tumesaini Mkataba wa Makubaliano (MOU) na washirika wetu kibiashara NorFund kutoka Norway na IFU kutoka Denmark kufungua kampuni tanzu katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika hafla iliyofanyika katika hoteli Fleuve De Congo.
#CRDBBank
UN Secretary-General António Guterres has appointed Joyce Msuya of Tanzania as Assistant Secretary-General for Humanitarian Affairs and Deputy Emergency Relief Coordinator in the Office for the Coordination of Humanitarian Affairs 🇺🇳🇹🇿
She succeeds Ursula Mueller of Germany