TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Happy Sunday MH. Mwenyekiti #TUNDULISSU kwa heshima kubwa nngependa kukutakia jumapili njema huko ulipo ,lakini pia nngependa kukufahamisha kwamba tunajianda na maandamano MAKUBWA ya kitaifa kushinikiza wakuachie uwe,sababu wew huna kosa lolote #FREETUNDULISSU
Tumalizie kuwaumbua hawa Wakatoliki wa kuchaji. Huyu ni wa mwisho, then tuendelee na mambo mengine ya msingi. Dunia imeshajua hawa ni Wajinga, na Ulimwengu umetambua aliyewatuma ni Mpumbavu.
Huyu anaitwa Lucy Peter Kuffa. Ndiye yule aliyesoma lile tamko na kusema wanampelekea Papa Petrol Station 😂. Lucy ni mzaliwa wa Morogoro kabila Mluguru. Anaishi Yombo Dovya, wilaya ya Temeke jijini Dar. Ni Katibu wa UVCCM Kata ya Makangarawe, na mjumbe wa genge la “Mama Asemewe” wilaya ya Temeke.
Alikuwa Katibu wa Umoja wa Wajasiriamali Wadogo na Watoa Huduma Tanzania (UWAHUTA) lakini akafurushwa kwa tuhuma za ufisadi.
Mwaka juzi alibadili dini kuwa Muislamu na kupewa jina la Latifah, kisha akaolewa na ndugu Nassir Abdallah. Kwa hiyo akatambulika kama Latifah Nassir Abdallah. Lakini akaachika kwa talaka. Akarudia Ukristo na akawa muumini wa Kanisa la Arise & Shine Kawe (Kwa Mwamposa) ambapo anasali hadi sasa.
Picha ya kwanza akiwa kwenye majukumu yake kwenye chama chakavu, picha ya pili akiwa kwenye press ya UWAHUTA, picha ya 3 akiwa kwenye press ya Wakatoliki feki, picha ya 4 ni siku alipofunga ndoa na ndugu Nassir Abdallah.
Lucy ni miongoni mwa "wahuni" waliojivika Ukatoliki Feki ili kulichafua Kanisa kwa maslahi ya waliowatuma. Namba yake ya simu ni 0688636296, mnaweza kumsalimia kidogo.!
@MalisaGJ
Mwenyezi Mungu atujalie mwaka huu ukawe wa ushindi kwetu na kwa Watanzania wote.
Mwenyezi Mungu atujalie mwaka huu ukawe mwisho wa mateso kwetu.
Mwenyezi Mungu atujalie mwaka huu ukawe mwisho wa kuishi kwa mashaka kama digidigi,roho mkononi.
Na wote tuanao amini tuseme "Amen"