Wengi wetu tunaishi maisha ambayo siyo mipango yetu kiufupi tunaishi nje ya mipango tuliyokuwa tumeipanga and thus why it takes us sometimes nguvu nyingi, akili nyingi, na ups & down nyingi saana ili kurudi katika reli ya maisha ambayo tuliyahitaji kuyaishi awali🤦♂️ #SomaX2✍️🤝
Story za kesi n nzuri kusimuliwa na wengine,ila si kukukuta wewe,Trust me, ukiwa mahakamani,unajihisi uko peke yako.Tuheshimu sheria,tuish kwa wema,tuepuka mabaya na vikwazo visivyo vya lazima.Zaid ya yote, tumtangulize Mungu maana bila Mungu,hata tag kubwa hupotea.Ngumu kumeza✍️
Sometimes,unaumia mpaka unacheka mbele za watu huku ndan umevunjika kabisa,unalia kmya,ukijiuliza kama Mungu bado anakusikia.💔😭
Usimlaumu Mungu kwa machoz yako. Huenda leo huon sababu,lakin kesho inaweza kuwa ushuhuda wa maumivu uliyopitia.Shikilia Mungu-giza halidumu milele.❤️
Thanks to Calvary, I'm not the man I used to be. Thanks to Calvary things are so different than before
Sin is forgiven, guilt is gone,Chains are broken. Hope is alive. 🙏
With #OneVoice we declare “JESUS SAVES! JESUS SAVES!”
#OneVoice27#HopeStartsHere#ThanksToCalvary
Watu wema bado wapo duniani,tena ni wengi.Tatizo mara nyingi si wao,bali ni namna tunavyowaona kupitia hisia,majeraha na mawazo yetu mabaya yaliyotawala mioyo yetu.Kabla ya kuwalaumu wengine,tujichunguze sisi. Huenda dunia si mbaya;huenda mitazamo yetu ndiyo inahitaji kubadilika.
Another day to remember: God is good, all the time. 🙏🏾Life can end at any moment,so whenever you get a chance to do good, do it well. Love deeply, forgive fast,help genuinely,and leave kindness everywhere.Tomorrow isn't promised, but today is an opportunity. Make it meaningful.❤️
“Deep down,kwa yeyote anayetamani kuwa champion ni muhinu kujua, ukimya ni akili iliyojifunza kujitawala,ni uwezo wa kuona zaidi ya hisia za muda, kutambua kile kisichostahili nguvu zako, na kuelewa kwamba wakati mwingine kutosema chochote ni jibu lenye nguvu kuliko maneno elfu.”
Nimejifunza na nazidi kujifunza: Maisha yanapokukabidhi jukumu la kuwahudumia wengine, hekima ni muhimu. Si kila jambo linahitaji majibu, hasira au maelezo. Busara ni kujua cha kusema, cha kuvumilia na cha kuacha kipite. Dua na Mungu hutupa hekima ya kulishughulikia jambo vzur.✍️
Nimejifunza na nazidi kujifunza: Maisha yanapokukabidhi jukumu la kuwahudumia wengine, hekima ni muhimu. Si kila jambo linahitaji majibu, hasira au maelezo. Busara ni kujua cha kusema, cha kuvumilia na cha kuacha kipite. Dua na Mungu hutupa hekima ya kulishughulikia jambo vzur.✍️
In case you never knew, Kwamba hata ukitumia nguvu nyingi kiasi gani,au usipotumia nguvu nyingi za kias chochote kile bado chako kitabaki kuwa chako na kisichochako kitabaki kuwa sii chako,We plan alot we act alot we choose alot,we face alot but finally God Decide at the end😂✍️
I don't need to know everything about Jesus to trust Him. His love found me before my understanding ever could. Every day, I choose His heart over my doubts. Jesus, never let my soul fall out of love with You. Hold me close until the day we stand together in Heaven.🙏 #2v2v2tuu✍️
Moja kati ya masomo magumu katika maisha ambayo nimewahi kujifunza ni Kuelewa kuwa kuna mambo kwenye maisha na situation ambazo hutokea katika namna ambayo ili USHINDE inabidi ukubali KUSHINDWA ndipo uwe MSHINDI na ukikubali kushinda basi unakuwa umeshindwa.🤦♂️ Ni ngumu kuelewa✍️
Wakati mgumi siku zote kwenye maisha huwa haudumu ila watu wagumu ndio hudumu, huduma ya kudumu hudumu pale ugumu unapokutana na mtu mgumu aliyechagua kudumu ili afanikiwe kupata vitakavyodumu. #SomaX2✍️