Mnaotaka tume hivi mnajua katiba tunayolalamikia ibara ya 74(12) inapinga na kupiga marufuku shughuli za tume kulalamikiwa?
Tume itakuwaje huru ktk hali hiyo?
Kwa hivyo polisi wakiiba masanduku au kuingiza kura hewa tume ikitangaza basi imetosha? Tafakarini kwa makini.
@IAMartin_ Broo ni watu wa chuga atunaga mengi mkuu alikua ana tu wakilisha watu wa kas kazin ni majembe atuna shobo na mtu yeye tu ajipange upya kazi ndio imeanza
Baada ya Yesu kujaribiwa jangwani, shetani alimwacha kwa muda {Lk 4:12}. Maana yake ni kwamba atamrudia tena. Hili ni funzo na angalizo kwetu la kuwa macho muda wote. Shetani hapumziki, hana likizo. Yeye huzunguka kila wakati kama simba angurumaye akitafuta mawindo {1Pt 5:8-9}