UDA Mps went to visit Washington DC only to find Muhoho Kenyatta coming from the Whitehouse after a meeting with Trump & Elon
The gentleman looks more like Mzee Jomo Kenyatta than Uhuru
@polo_kimanii Mimi nilipewa a proper character development Rumuruti. Tulikuwa tunakaa Rada usiku juu ya Ndovu.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza Kuona ngataa ikiuzwa na jug kama mafuta ya salad.
Bandits Kila pahali. Kwanza WaSamburu!. Uko ridhe zilikuwa zinalia unaskia ninja imesema io ni yetu
@BoscoKavithi@polo_kimanii Umenikumbusha watermelon ya babaMkubwa rumuruti. Mzae alikuwa amebakisha 2wks avune aende soko. Mimi nilikuwa nimepewa kazi ya kuescort mzigo na nikabroker 2bob per kg.
Sasa, kulikuwa na kiangazi sana. Kuna mbogi Fulani ya WaTurkana walivamia wakakula zote. A whole 5acres.
@Nellytekashii@polo_kimanii Mvua ya rumuruti sio jokes buana. Mimi shamba ya mzae iliflood maji siku Moja bila warning. Na ivo ndio nyanya acre Tano ilienda