Hata pale ambapo watawala wanataka tukate tamaa, ujasiri wako unatufundisha kusimama. Tuko pamoja, sasa na siku zote. Hatuwezi kuona kila machozi yako, lakini tunaona ujasiri wako na jitihada zako. Huu ni wakati wa kushikamana na kuendelea kupigania haki. Hatufanyi hivi kwa ajili yetu hata kidogo. Bali kwa ajili ya vizazi vya Taifa hili.
@EricNjiiru The only team you want to beat is us,I have laughed hard, you are too funny man.ok now we have decided we will go out by group https://t.co/6QUwRaPMpM what?
In response to the election protests between 29 October and 3 November 2025 in #Tanzania, security forces used unnecessary or disproportionate force showing a shocking disregard for the right to life and to the freedom of peaceful assembly.
https://t.co/45QJBEcIqm
โผ๏ธ๐จChukua Tahadhari: Tume ya Chande
ni Mtego๐จโผ๏ธ
๐๐ฝ Kuna tume haramu ya Samia Suluhu Hassan inazunguka kwa ajili yaโจ"kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani" yaliyotokea Tanganyika
nchini Tanzania kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 ambao haukufanyika.
๐๐ฝ Tahadhari inatolewa kwa kila raia hasa GenZ kuwa makini na tume hil ya
mchongo. Hii ni tume ya CCM inayofanya kazi ya kukusanya ushahidi.โจKwa hali ya utekaji, mateso, upotezaji, na ufunguliwaji mashtaka ya uhaini unaoendelea, mashahidi wanaweza kujikuta kwenye mtego wa kupotezwa ili Samia Suluhu Hassan na wahalifu wengine wapoteze ushahidi ambao utatumika kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu
(ICC).
๐๐ฝ Kushirikiana na tume hii kwa kuwatumia taarifa au kuwasiliana nao kwa
njia yoyote ile ni kuchagua kutekwa, kuteswa, kufirwa, kubakwa, kuuliwa au kufunguliwa kesi za uhaini.
#SamiaMustGo #D25 #J1
@Eric__Bernard Asilimia 98 ya wapigakura milioni 31 ambayo hata mtu asiye na akili anajua huo ni uongo wa kijinga,hivi we jamaa huwa unasifia na kutetra nini?