Funzo kubwa nililojifunza kuhusu Tanzania ya sasa ni hili: Watanzania wengi wanaonekana kuchoshwa na hali ilivyo na wanatamani mabadiliko.
Katika mazingira kama haya, yeyote atakayejiweka au kuonekana kuwa kikwazo kwa matakwa ya wananchi anajiweka kwenye hatari ya kupoteza uungwaji mkono na uhalali wake wa kisiasa, bila kujali umaarufu wake, nafasi yake au historia yake.
Mungu awalinde na awapiganie!mawimbi baharini yanataisha lakini ndio yanasafirisha Meli
@KipepeComrade@KennedyMmari Kwa asilimia kubwa ni hiki kizazi kipya (Gen Z),wamekuwa na kukuta fursa ya ajira ya haraka zaidi na uhakika ni hii ambayo unaita janga
Fikiria kama sio fursa hii tatizo la ajira lingekuwa kubwa kiasi gani.?
Hebu tuwaze nje ya BOX!!🤔
What if, ni mchezo wanautengeneza ili kumfanya VICEnt apate sympathy kwa wapiga kura….kisha ndio iwe next kete yao 2030!!🤔
Yes, coz sio mara yao ya kwanza kuyafanya hayo!! Wameshaitumia sana hii strategy huko nyuma na wakafanikiwa!!
Nikurudishe 2017
TAL alipopigwa pyuu pyuu 🔫
wengi walimchukia Banza kwa lile
tukio!!
Hisia zangu zinanambia #MasterMind aliitumia hii opportunity akamtuma Kizim-Job akampe pole TAL!!
sidhani kama ile move ya kwenda kumuona na kumpa pole TAL ilikuwa bahati mbaya ile, huwa always nahisi it was strategically planned na pengine mtoa pole hakujua kama ni mchoro anachorewa, yeye aliamini anatenda utu….but kuna watu behind the scene walipush ile move!!
Ili kumjengea sympathy,imani na upendo kwa raia, kwamba kati ya wanachama waandamizi wooote, ni huyu pekee kajitoa kwenda kumuona mgonjwa.
Basi huyu ana upendo sana!
Basi huyu atatufaa kutuongoza!
Huyu sio katili kama Banza!!
Kumbe MasterMind anasema huyu
Ni next kete yetu tutamtumia siku za mbeleni, tayari anauzika kwa wapiga kura!!
Haya miaka imepita….
vipi leo bado sio katili!!?🤔
Sasa nashangaa sana kuwaona baadhi ya wanafamilia wakiingia kwenye huu mtego tena mapema sana, bila hata kuwaza nje ya box!!
Tena wengine ni watu senior na very influential kwenye siasa na harakati!!
Wanaanza kumpongeza VICEnt kuona huruma, kumfanyia PR na kumu-endorse kwa raia….Pasi kujua kufanya hivyo ni kurudia makosa yaleyale ya kujikuna Nyashi kisha unakata kucha kwa meno!!
Ni kweli VICEnt anaonekana kuwa mtu poa currently, lakini shida ni familia ileile!!
Iko hivii…..hawa jamaa ni very smart na calculated!
Wanajua fika now wako kwenye nyakati ngumu sana kujiuza kwa wananchi kutokana na waliyoyafanya….Nyama ngumu kwelikweli!!
Wana changamoto kubwa
ya who is next? ambaye wata msimamisha na raia wakampokea na kumkubali bila makwasukwasu yoyote!!
Hapo sasa kwenye Who is next, ndiyo nahisi #The_Master_Mind huwa anakujaga na mchoro wa kutafuta exit!!
Kwamba watengeneze beef/vita/misunderstandings wao kwa wao ndani kwa ndani, then habari zitoke nje kwa raia….kuwa kuna mpasuko ndani ya chama!!
Then ile kete wanayoitaka wao ndio ionekane kwa raia kama ndiyo inaonewa ndani ya chama au kama ndiyo shujaa inasimama na raia!!
Na raia tulivyo na mtindio wa ubongo tunajaa kwenye huo mfumo!
Tena wakati mwingine #MasterMind anaweza akachezesha huu mchoro bila hata kuwashirikisha wahusika wakuu, yaani main characters wakawa wanapasuana kiukweli, kumbe kuna mtu behind the scene anawachezesha filamu!!
Anagusanisha nyaya, anapigisha cheche bila wao kujua….
KUWENI NA MISIMAMO
KUWENI NA KUMBUKUMBU
WAZENI NJE YA BOX
MSIJAE KIZEMBE
Nways labda niko wrong na hisia zangu!!
Tatizo naangalia sana movies za watu waBad wanavyoRemote Gavoo na Viongozi!!
zinaniharibu sana!!
@Thereal_taivina Makama wa Raisi ni nafasi ya juu zaidi ndani ya chama na kwa taifa kiujumla maanae ni kwamba anajua mengi zaidi ambayo itawarahisishia CDM katika mapambano yao
2.Lema,Amesukuma kete ya mpasuko ndani ya CCM hii kitu ndio njia pekee ya kuidondosha chama chochote tawala ulimwenguni.
@PresenterNoah Akili tu
Mfumo wa 200 kwa jumla ananunua 90/=
Mfumo wa 300 kwa jumla ananunua 110/=
Mfumo wa 500 kwa jumla ananunua 200/=
Kama mteja kachukua bidhaa zaid ya kiasi cha 15k kumpa mfuko bure ni sawa