Mwana Simba mwenzangu kabla hujafanya lolote leo hakikisha unanunua tiketi kabla ya saa 7 mchana UTANISHUKURU
Yaani kabla hujaingia ofisini pitia kwanza tiketi kazi ipo tuu ila tiketi zinaisha
Club ya soka ya Simba imetangaza kumalizika kwa tiketi za mzunguko za Simba Day siku ya Jumamosi Jijini Dar es salaam ambako itacheza na Power Dynamo ya Zambia.
"Historia imeandikwa, kwa mara ya kwanza tiketi za mzunguko zimemalizika siku 3 kabla ya tukio.... kawaida Mzunguko humalizika siku ya tukio lakini safari hii mzunguko zimeisha mapema tena zimeisha kabla ya madaraja mengine wakati mara zote mzunguko ndo huwa za mwisho, asanteni sana wana Simba tukutane Simba Day" ——— ameandika AhmedAlly #MillardAyoSPORTS