@godbless_lema Post ya kipuuzi na KINAFKI,WATOTO WAKO UMEWAFICHA ABROAD UNATAKA KUWAFANYA WATOTO WETU CHAMBO ,ILI WATOTO WAKO WAPATE MATUMIZI HUKO.nkaastuka !
@Mapungo2020 Kwani yeye haruhusiwi kuwa na hawara sababu yeye NI CCM ?.mbona huyo mwenyekiti wenu aliojipeleka JELA ,Alikuwa na lile hawara lake LIZUNGU balozi
La ULAYA nchini hapa, CHADEMA mbona mlikaa kiimya.