@comanchechiefIV@MariaSTsehai Ukweli ndio huo chief, hamupendwi Zanzibar, hatupendwi Zanzibar na sisi bara tungekuwa kama wao, tayari tungekuwa na Tanganyika na Zanzibar.
Niambie lini umemsikia Waziri kutoka Bara akiwapiga mkwala wazenji......km hujasikia, basi ukweli ndio huo, WANAPENDANA, HATUPENDANI.
@EsirEid Kiukweli baada ya Masoud, Sizza na Fetty kutoka Clouds nilishaacha kusikiliza radio asbh, Leo sijui imetokea nawasha radio nasikia Hando anamfokea MTU 😂😂 sasa radio yangu itakuwa @wasafifm kila siku asubuhi.
@HildaNewton21 Hii ni aibu.....hakuna wimbo wa kuwapa vijana Ari, Tumaini, Hamasa kwamba wananaweza.......kwanini tulazimishe vitu, waandaaji wa hizo mambo wanamharibia Madam President, nasikitika siku anatoka kwa power watamuongelea tofauti wakati wanatafuta chaka lingine la kupigia ulaji.
@godbless_lema Mkuu unatakiwa ujue social media pollution ndio nguzo ya CDM......sasa kusema hupendi noise pollution unatukusea, achana na Arsenal mheshimiwa.
@Eng_Matarra Kuna Kazi nilifanya Malipo kama 3.2 m....wakati huo nilikuwa na kipengele natakiwa kutatua, akili yangu ikaniambia nikulipwa hiyo ndio nitakamilishia kimeo changu, Dah! hela ilikata kile kipengele bado kimesimama wima, hela sikumbuki iliishaje, huu wakati mgumu sana.
@invertCucurella This Dude appears to need professional therapy and emotional support. I'm genuinely concerned that he may be at risk of harming himself. If he has a wife, or close friends, I think it's important that they stay close to him and provide support during this difficult time.
@la_kapitan@PolycarpMDM Akishamaliza kuangalia Kibla afukuze hiyo mbwa hapo ndani, iende ikafie mbele ya safari.....Dah! nimeumia kama vile huyo ni Mzee wangu.