Kama bado hujachangia chochote na unawiwa kuchangia CHADEMA ili kufanikisha kikao cha BARAZA KUU
Tuma mchango wako kwenye hii hizi namba
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
RT✊
Tundu A.M Lissu na John Heche walichaguliwa na Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Hakuna kiumbe yeyote anayeweza kuwaondoa zaidi ya Mkutano Mkuu wa chama Taifa ambao uliwachagua. Hizo porojo nyingine ni mazombi ya mbogamboga yamelewa visungura tu na hayaelewi muundo wa katiba ya CHADEMA.
‼️🚨Ujasiri wa Karne‼️
Ni kwa matumaini makubwa ya ukombozi wa Tanganyika kwamba vijana wetu wa mstari wa mbele GenZ wameandamana na kuandamanisha vyombo vyote vya ulinzi kwa wiki mbili mfululizo.
👉🏽Tumeshuhudia likizo zote za polisi zikifutwa na wakiamriwa kuandamana
mitaani kwa masaa 24 kwa malipo hafifu
👉🏽Tumeshuhudia makamanda wote wa juu wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi
wa Tanzania (JWTZ) wakipokonywa likizo zao na kulazimishwa kuandamana na kukesha ofisini.
👉🏽Tumemwona Mussa Azzan Zungu
akiandamana kutoka Dodoma mpaka Kurasini kuwabembeleza Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) wasikilize kilio chake cha kuomba
maandamano yasitishwe.
Hatutapokeaa siasa za uponyaji kwani majeraha na makovu yetu ni alama na kumbukumbu za ukatili wa gaidi Samia Suluhu Hassan anayeshirikiana na familia yake ya gaidi Abdulhalim Hafidh Ameir, gaidi Wanu Hafidh Ameir (watoto wa Samia Suluhu Hassan), na gaidi Mohamed Mchengerwa (mkwe wa Samia Suluhu Hassan na mume wa Wanu) chini ya mwavuli wa Chama cha Magaidi (CCM - Chama cha Mapinduzi).
Sisi ni Washindi!
A luta continua, vitória é certa!
Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika!
#SamiaMustGo