Mwanaume anaweza akawa analipwa 600K tu kwa Mwezi mzima lakini atavaa atahonga atakula atalipa kodi atatuma pesa kwa mama πππ Hivi viumbe Vimebarikiwa asee π€
Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN ndiye Rais mwenye PHD NYINGI ZAIDI DUNIANI. Asante sana mama kwa KUTUHESHIMISHA KITAALUMA. Pokea ππ·πΉπ₯ yako.