#BREAKING: MGOMO WA WAMAASAI NGORONGORO WACHACHA TANZANIA, WAPINGA KUHAMISHWA
Mgogoro wa Ngorongoro unahusu mpango wa serikali ya Tanzania kuwahamisha kwa hiari au kwa mpango maalum wakazi zaidi ya 80,000 wa jamii ya Wamasai kutoka ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro kwenda eneo la Handeni mkoani Tanga, huku jamii hiyo ikipinga hatua hiyo ikidai inakiuka haki zao za asili na utamaduni waoMgomo wa wamaasai Ngorongoro.
ZAIDI: https://t.co/6q2aIsV2CF
Msikilizeni Bi Kizimkazi kwa makini
Anaongea na wazanzibari wenzake
Wameamua wao wanashikamana kulinda nchi yao na wanatunyuka kwao mwaka 2025 hakuna aliyenyukuliwa maana waliambizana waje kuua watanganyika! Mpo?
Sisi watanganyika ndo tuna wapumbavu wanaomsaidia huyu mwuaji kututeka na kutuua! Kabudi shame on you na wenzako wote! 🚮🚮 Traitors!
Amkeni watanganyika - tuidai Tanganyika na #KatibaMpya ya serikali tatu!
She says what she means and she means what she says!
#TutaelewanaTu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema chama hicho kiliingia katika “mtego” wakati wa mchakato wa Katiba Mpya ulioanzishwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete, akidai kuwa baadhi ya watu waliokuwa wanawasilishwa kama wawakilishi huru kutoka asasi za kiraia walikuwa na uhusiano na CCM.
Heche amesema hayo Jumatatu, Agosti 10, 2026, katika mahojiano na kipindi cha Dakika 45 cha ITV, akitaja Humphrey Polepole na Paul Christian Makonda kuwa miongoni mwa watu waliokuja katika mchakato huo kupitia taasisi binafsi na za dini, wakionekana kama watu wasiokuwa na vyama, wakati kwa mujibu wake walikuwa wanachama wa CCM.
Kwa mujibu wa Heche, awali CHADEMA ilikuwa imeonya kuwa muundo wa Bunge Maalum la Katiba, uliokuwa na idadi kubwa ya wajumbe kutoka CCM, ungeifanya iwe vigumu kupata Katiba inayowafaa Watanzania wote. Hata hivyo, amesema chama hicho kiliendelea kushiriki mchakato huo kwa kuamini kuwa kulikuwa na nia njema.
Heche amesema kuingizwa kwa watu hao katika kundi la wajumbe 201 kulichangia kuharibu mchakato wa Katiba, akieleza kuwa kundi hilo lilipaswa kuwa na watu huru wasiofungamana na vyama vya siasa. Amesema hatua hiyo iliathiri uwiano na uaminifu wa mchakato uliokuwa unatarajiwa kuzaa Katiba mpya.
Ametaja pia uamuzi wa CHADEMA kuingia katika mazungumzo na Serikali baada ya kukamatwa na kufunguliwa kesi ya ugaidi kwa Mwenyekiti wake wa wakati huo, Freeman Mbowe, kuwa kosa jingine kubwa. Amesema baada ya Mbowe kuachiwa, viongozi wa chama walikwenda Ikulu na kuunda timu za mazungumzo za wajumbe watano kutoka CCM na watano kutoka CHADEMA.
Heche amesema mazungumzo hayo yaliendelea kwa takribani mwaka mmoja, lakini CHADEMA ilifanya kosa kuwaamini watu ambao, kwa mtazamo wake, hawakuwa na nia wala dhamira ya dhati ya kutafuta suluhu, akisema uzoefu huo umeifanya chama hiyo sasa kukataa mazungumzo yasiyo na msuluhisho wa msingi.
The JPMorgan Chase banker who was one of the secret figures behind the Fifa sell-off plan is also under pressure for her links to the late paedophile financier Jeffrey Epstein.
@SamWallaceTel has the full story 👇
https://t.co/XuOIedvv14
If it looks like an Amazon delivery and drives like an Amazon delivery, then it's an Amazon delivery, right? Not according to Amazon.
Big companies like Amazon have built a vast network of subcontractors who deliver their packages while shielding them from accountability.
It leaves our workers unprotected and our streets less safe. It's time for a change.
I'm proud to support the Delivery Protection Act to crack down on exploitative subcontracting and build an economy that works for everyone.
If you think #SamiaMustGo is just some random hashtag - think again!
We are talking about a murderous dictator who at her own people’s account have confessed to killing over 500 people in few days to take power illegally, they recorded thousands of #EnforcedDisappearances and she has imprisoned her rival Tundu Lissu on trumped up charges! Her family and cronies are embroiled in huge corruption cases
#Tanzania is not safe for travel or investment
This will only get worse under this illegitimate president!
Ergo #SamiaMustGo is mandatory in order to move away from the brink of disaster!
Today I join others from across our game and call for Gianni Infantino to resign as FIFA President.
Infantino has debased the office that he promised to elevate. He has lied, deceived and tried to feather his own nest at the expense of the game he is supposed to serve.
He has lost the support of his senior staff, his closest advisers, the vast majority of people who devote their lives to this sport and even, it would seem, the FIFA Peace Prize winner.
It is too late to save his dignity but it is not too late to save football. He should go. Now.
#Infantinout
https://t.co/j93k5MnlK2
BREAKING: A source close to Iranian officials says Tehran has documented a pattern of oil market manipulation tied to Axios reporting and Trump administration insiders, including evidence of a $9 billion insider trading operation linked to Jared Kushner and Steve Witkoff.
The documented timeline of the $9 billion insider profit:
Between April and May 2026, a series of highly suspiciously timed trades in oil futures markets preceded major Iran war and deal announcements, each tied to reporting by Axios.
On March 23, approximately $500–580 million in shorts were placed 15 minutes before Trump announced he was postponing strikes on Iran, oil dropped.
On April 7, roughly $950–960 million in shorts were placed hours before Trump announced a two-week ceasefire with Iran, oil fell 15 percent.
On April 17, approximately $760 million in shorts were placed 20 minutes before Iran's foreign minister announced the reopening of the Strait of Hormuz, oil dropped.
On April 21, around $430 million in shorts were placed 15 minutes before Trump extended the ceasefire, oil dropped again.
On May 6, nearly $920 million to $1.7 billion in crude oil shorts were placed approximately 70 minutes before an Axios scoop claimed the U.S. and Iran were near a "14-point agreement." Oil dropped 12 percent. Traders made an estimated $125 million in profit, while Iran called the May 6 Axios report "the Americans' wish list," and completely false.
A senior Iranian official previously told Drop Site News that Iran privately warned VP JD Vance during Switzerland talks that Kushner and Witkoff were "abusing" negotiations, being "more interested in exploiting insider knowledge to profit in financial markets than reaching a deal."
Pin this📌
‼️MFUMO MPYA WA KIMAGUMASHI WA KULIPIA FORODHA T-CAMS NA FAMILIA YA RAIS‼️
Kama nilivyowaeleza kuna kashfa kubwa na iko kwenye mfumo mpya wa ulipaji forodha ulioletwa ghafla bin vup na genge la watawala. Mfumo huu mpya unaoitwa T-CAMS inaendeshwa na kampuni inayoitwa Capital Pay ambayo mmiliki wake mkuu ni Garang Malek kutoka South Sudan. Kampuni hii ina kampuni shiriki inayoitwa Crawford Capital inayoendeshwa na mtoto wa Salva Kiir iliyopigwa sanction na Marekani kwa sababu ya UFISADI. Hii nitaiongelea siku nyingine tuje sasa kwa huku Tanzania
Capital Pay Ltd imeingia makubaliano na TAFFA au TASAC.
Tanzania ni Tanzania Freight Forwarders Association yaani Chama cha Wasafirishaji Mizigo Tanzania
TASAC ni Tanzania Shippings Agency Corporation au Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania
Waliosaini mikataba ni mabosi wa haya mashirika ila wadau hawajashirikishwa kabla kikamilifu maana waligusiwa kwenye mkutano mkuu Oktoba 2025 ila wakaambiwa muda umeisha watapewa maelezo baadaye ndo ikaishia hapo. Sasa wamekuta tu March 16 hawa wamesaini mkataba na TAFFA na TASAC na TRA wameshuhudia haya. Huu mfumo mpya unataka malipo YOTE ya forodha ya uagizaji kutoka nje upitie hapo na hawa Capital Pay wanachukua 25% ya ada wanayolipwa mawakala wa usafirishaji. Mpo? Kumbukeni huu mfumo si wa MUUNGANO bali ni wa TANGANYIKA tu!
Sasa baada ya mawakala kuona haya madudu kupitia TAFFA wakaamka na kuanza kupinga huu utaratibu na kutaka maelezo zaidi.
•Uhalali na ubora kwa kutumia mfumo kutoka kwa taasisi ya kigeni iliyoanzishwa hivi karibuni, hasa ile inayotoka katika eneo lisilo na miundombinu imara ya bandari inayoweza kulinganishwa na ile ya Tanzania yaani South Sudan
•Athari za kiusalama zinazotokana na kuipa kampuni ya kigeni fursa ya kufikia taarifa nyeti za kitaifa za kibiashara, ikiwemo taarifa za uingizaji na usafirishaji wa bidhaa. Hali hii inazua maswali muhimu kuhusu ulinzi wa taarifa, usalama wa taifa, na uhuru wa nchi.
Wakapuuzwa! Wameendelea kufuatilia na ndipo ndugu yetu Mapete (Waziri Salum) akaibuka! Akaanza kuwatishia wadau na wengine wametekwa hivi karibuni kwani mfumo huu wa T-CAMS ilitakiwa kuanza kutumika Agosti 01. Waliotekwa wamepelekwa Central Police na wanahojiwa na kuteswa chini ya usimamizi wa askari mzanzibari Mzee Ibrah! Wanaambiwa wadau kuwa huu mradi ni wa familia ya Rais haramu Samia Suluhu na familia ya watawala wa South Sudan. Pia Mombo anatajwa kama mdau. Ila anayeonekana front ni huyu Mapete – bize!
Baada ya mambo kuzidi kuwa tete wazalendo wameamua wapeleke demand notice kwa wahusika wote wakiwemo TRA na kutaka wasitishe huu mfumo la sivyo watafunguliwa kesi na hoja ya kisheria ni kwamba kwa mujibu wa East African Community Customs Management Act, 2004, usajili, utambuzi na usimamizi wa Customs Clearing and Forwarding Agents uko chini ya Kamishna wa Forodha wa TRA. Sheria hii haitoi mamlaka kwa TAFFA au TASAC kusimamia leseni za Customs Clearing Agents isipokuwa pale sheria nyingine itakapotoa mamlaka hayo kwa uwazi. Katiba inalinda misingi ya utawala wa sheria, usawa mbele ya sheria na haki ya kufanya biashara kwa mujibu wa sheria. Kwa hiyo: taasisi yoyote inayoweka masharti au tozo bila mamlaka ya kisheria inaweza kuwa inakiuka misingi hiyo; haki na wajibu wa wananchi na wafanyabiashara lazima viwekwe kwa mujibu wa sheria, si kwa makubaliano ya kiutawala pekee. wapo kuna tozo mpya, ada ya lazima au mfumo unaowalazimisha Customs Clearing and Forwarding Agents kulipa kupitia TAFFA au TASAC, ni lazima ionyeshwe wazi kifungu cha sheria kinachoruhusu tozo hiyo.
Watanganyika AMKENI! Huu upuuzi hadi lini?
Kuna mengine mengi ila kwa sasa nimeanza na haya mengine tutafuatilia kimataifa!
ACHENI UPUUZI watanganyika kwenye mfumo!
#TutaelewanaTu
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Afrika Kusini EFF Julius Malema amevishukia vyama tawala barani Afrika vilivyohusika na vuguvugu la uhuru ikiwemo CCM, ZANU-PF, SWAPO, FRELIMO na ANC kuwa kitakachowamaliza ni kifo cha asili ambacho hakikwepeki kwani havitaweza kujivua gamba ili kuendeleza ajenda ya ukombozi.
Russia has designated me as a “terrorist” for refusing its demands for mass surveillance and censorship on Telegram.
Under Russian law, I’m banned from “publishing information on the Internet” 😌
Russian officials are clearly confused about who can ban whom from the Internet 😉
We stand shoulder to shoulder with our European colleagues and fully support the collective view.
We oppose FIFA’s plans. The FIFA World Cup belongs to football and always will.
https://t.co/BuF7srQ8cJ