@Evans_o_o @WAZlRl Engligh tunajua na haturingi. Tunaringia lugha yetu ya taifa. Lugha adhimu, lugha asili ya Kiafrika. That's a significant achievevement in the ongoing decoloniality thinking.
@TheConcept1116 Eti wanajigamba na lugha ya mkoloni. Hamnazo kabisa! Lugha yenyewe majority ya watu wao hawaiwezi vizuri. Wengine document wanasema ndocument. Problem wanasema prombrem.
@Main31200302@TheConcept1116@Evans_o_o @WAZlRl Kipi hujaelewa jomba? Kukaa chini au kutulia tuli au maji ya mtungi? Au vyote? π π π . Funguka waja tukufafanulie chap kwa haraka π€£. Nakuzingua tu, usije ukapandisha munkari kama wa mkizi