Nafikiri ni wakati muafaka wa kutenganisha siasa na michezo. Leo hii timu ya Tanganyika inapigika Kisawasawa ktk kombe la Mpainduzi Zanzibar, wakati huo ukiwa imebeba jina la Tanzania. Hii sio Sawa, hiyo sio timu ya Taifa ya Tanzania bali ya Serikali ya Tanganyika.
Juyu binti ameuwawa Jana jijini Dodoma na mume wake baada yakuwa na migogoro yao akamfata kazini akamrudisha nyumbani nakuamua kumpiga mpaka kumuua Kisha akamfungia ndani na yeye kutoweka asijulikane alipo Ila naamini atapatikana..๐ R I P..
@JamiiForums Kufukuzwa kwao CDM ni furaha kwa CCM na hiyo wanaiona kama fursa.....lakini binafsi nitoe rai kwa Mdee na wenzie kuomba radhi CDM na kubakia kuendeleza mapambano ya demokrasia ya kweli wakiwa hukohuko kwani wamefanya mengi makubwa kwa chama hicho na walijitoa sana.
@MagufuliJP Mheshimiwa tunaomba uangalie na kuimulika hii mifuko ya hifadhi ya Jamii NSSF na PSSSF wanasumbua kulipa mafao ya watu waliopoteza ajira na kuwazungusha sana. Mtu anafuatilia mafao yake hata miezi 5 inapita wakati mtu huyo hana ajira