@HabiibYahyaa@mjahidmjahid80 Wewe ni mpumbavu kabisaa! Nikikuita mjinga nitakuwa nimekuheshimu. Iran anafanya siasa kwa kukiuka Sheria za bahari za kimataifa ili apate pesa za kuendeshea vita kwa sababu amefilisika. Strait of Hormuz ni mlango wa bure. Panama canal ina Sheria ya kulipia..
@HildaNewton21 Hayo maamuzi ya Leo hayakatiwi rufaa. Sasa wakate rufaa kwa kesi ipi wakati kesi ya msingi bado inaendelea!? Wanataka kuifuta kesi lakini hapohapo wafungue kesi mpyaa...na lissu aendelee kukaa gerezani.
@HildaNewton21 Hii kesi ina faida kubwa ya mambo mawili. Moja tundu lissu anatufundisha udhaifu wa mawakili wa serikali. Pili ni kesi inayovutia kusikiliza lakini inaivua nguo serikali bandia. Bahati mbaya ina mtesa lissu. Majaji pia wapo kwenye jaribio Kali kabisaa kwenye Maisha Yao. Tusubiri
@ShukuruAmos@nyamseri Wakushangaze kivp!? Taarifa Yao yenyewe Tu hawawezi kuja kwa umma kuitoa bila kupitia kwa aliyewatuma. Aliyewatuma akiona wamemumshambulia anaweza kuwafukuza wote na report Yao haitasomwa. Kifupi wanapangiwa kila kitu cha kufanya.
Upuuzi mtupu..serikali ipi anayosisitiza iombe radhi!? Hii ambayo haikuchaguliwa na wananchi? Serikali ambayo inadai Rais alichaguliwa kwa 98% lakini akaapishwa kwenye kambi ya jeshi!? Huyu wakili si alikuwa anagombea ubunge, aliona kulikuwa na uchaguzi!?
Jana Ijumaa ya Januari 30, 2026, Wakili Peter Michael Madeleka amehojiwa na Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi wa Oktoba 2025.
Akizungumza mara baada ya kuhojiwa, Madeleka amesema miongoni mwa mambo aliyowasilisha mbele ya tume hiyo ni wito kwa serikali kuomba radhi kwa wananchi walioathirika na matukio ya uchaguzi huo.
Ameeleza kuwa familia zilizopoteza ndugu zao zinapaswa kukabidhiwa miili ya marehemu ili waweze kuwazika kwa heshima, sambamba na kutolewa fidia kwa mujibu wa sheria.
“Nimeiambia tume kuwa serikali inapaswa kuomba radhi, na wale ambao ndugu zao waliuawa wapewe miili ili wawazike kwa heshima,” amesema Madeleka.
Aidha, Wakili huyo ameiishauri tume kuwa ni muhimu nchi ikaingia katika mchakato wa kuandika upya Katiba, akisisitiza kuwa marekebisho makubwa yanahitajika ili kuimarisha haki, uwajibikaji na misingi ya utawala bora.
Tume Huru ya Uchunguzi iliundwa kuchunguza na kukusanya ushahidi kuhusu matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kwa lengo la kutoa mapendekezo yatakayosaidia kuzuia kujirudia kwa matukio kama hayo siku zijazo.
@mangekimambi@jmkikwete Huku uraiani ukisikiliza jinsi watu walivyo na hasira, na maneno yanayosemwa..nakubaliana na wewe kabisaa kuna siku litatokea Jambo ambalo kila MTU hataamini km limetokea Tanzania. Na bahati mbaya kwa sasa nchi inaongozwa kwa mabavu Tu...Acha tusubiri.
@zittokabwe@ACTwazalendo Takataka...!! Kwa hiyo bwana mwami uchaguzi tayari ni Halali!? Yule mchekeshaji alikupiga kihalali kumbe na hukusema!? We Jamaa ni MTU wa ajabu sana, na huna aibu kabisaa!!
@dully84188557@mwananchi_ts @Royal_Tv_Tz Wewe Akili huna..!! Na hakuna jinsi naweza kukuelimisha ukaelewa kwa sababu ujinga hauondolewi maramoja. Kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ni wa kiwango cha chini mnoo! Huwezi kuelewa anachopitia MTU anayefikia stage ya kujinyonga.
@mwananchi_ts @Royal_Tv_Tz Unajua ni rahisi zaidi kuua kuliko kujiua!? Unajua kweli ugumu wa kujiua!? Kujiua ni matokeo ya MTU kukata tamaa. Hatua ya kujiua ni moja ya hatua ngumu zaidi kwenye Maisha ya binadamu na kujiua ni ujasiri siyo udhaifu
@nhekima@lifeofmshaba Ukifungwa kifungo cha nje kama hicho Haina maana kwamba upo huru, inabidi uwe na wadhamini. Na atakuwa alipelekwa police chang'ombe baada ya muda wa mahakama kuisha. Lkn dhamana yake inakuwa chini ya afisa wa magereza anayekuwepo mahakamani kwa ajili hiyo.
@MariaSTsehai@thabit_abdulla Kwamba anakataa hicho hakipo au anasema haupo smart ki-vipi!? Hao ni bodaboda lakini wale wenye mlengo wa mbongambonga na wale wenye njaa na hela. Mwigulu anaongea nao Leo na wanaandaliwa kwa mapokezi ya Taifa stars Leo. Ni mbinu ya kukusanya watu kwa ajili ya Taifa stars.
@elameck77@Liberatus80@lifeofmshaba Kinachosababisha isifunguliwe na wao ni km alivyoeleza mchangiaji mmoja hapo kwamba wakifungua wao watashindwa kuutumia huo ushahidi kwa kuwa watakuwa wameupata illegally baada ya Amri ya mahakama. !!