Nauza towels, na leo nimekuja na details za towels za huduma a.k.a hospitality towels. Yaani towels kwa matumizi ya HOTEL, SALON, AIRBNB,SPA, LODGE,VILLAS, APARTMENT n.k
Nimeelezea aina za towels na umuhimu wake kwenye huduma. Price included
Tag watoa huduma and repost
Uzi๐
Shetani alichukua watoto wa Ayubu
Shetani alichukua mifugo ya Ayubu
Shetani alichukua mali zote za Ayubu
Shetani alichukua utajiri wote wa Ayubu
Shetani alichukua vijakazi wa Ayubu
Shetani alichukua afya ya Ayubu
Ila Shetani hakumgusa kbs mke wa Ayubu
Sijui nilitaka kusema nini
Shetani alichukua watoto wa Ayubu
Shetani alichukua mifugo ya Ayubu
Shetani alichukua mali zote za Ayubu
Shetani alichukua utajiri wote wa Ayubu
Shetani alichukua vijakazi wa Ayubu
Shetani alichukua afya ya Ayubu
Ila Shetani hakumgusa kbs mke wa Ayubu
Sijui nilitaka kusema nini
Unajisajili NIDA ukiwa kijana, unapata kitambulisho kilichofutika ushakua mumama/mubaba umeshaoa/olewa, unakirudisha upewe kingine, unakipata uko na watoto watatu na firstborn yuko la tatu. Mchakato mzima umechukua miaka 10. A mere ID.