Anakaba vizuri bila kucheza rafu, anaweza kuichezesha timu kuanzia nyuma, pia ana kasi, nguvu na hesabu nzuri pindi timu inaposhambuliwa
Kwa dalili zilivyo, kuna uwezekano mkubwa Simba ikaendelea kubaki naye kwa muda mrefu zaidi kwani ndani ya miezi mitano ambayo ameichezea, tayari ameshaonesha kitu na amekuwa na msaada mkubwa kwao. Hakuna sababu ya msingi kwa Simba kuanza kutafuta beki mpya wa kati.
Jifunze kuwajua competitors, tafuta sababu za wateja kununua kwao, wanapata nini zaidi kununua kwa competitor, utafanya nini kuongeza sales zako kupitia hao wateja wanakwenda kwao. Pambana uwabadili waje kwako ila kabla ya yote jiulize “why should they switch?”
@DocFaustine@WizarayaUJ@temesatanzania @innobash Kiongozi leo tumevuka na kivuko kimoja tu (Mv Kazi)... wateja wengi huduma ya kuchelewa...Naona baada ya kwenda mbele tunarudi nyuma...Kuja haja ya kuweka sekta Binafsi kwenye hili.