#MwanasiasaBrand Kazi kubwa imefanywa na
1. Team ya uandishi wa speech; sio tu waliandika kuinspire, bali kueleza story itakayo-inspire
2. Production team; mpangilio wa shot na simple set isiyoondoa attention kwa mzungumzaji
3. PR team
Muhimu sana kuwa na hizi brains
#MwanasiasaBrand: Chagua vizuri maneno unayotaka kuyasema, na hasa sana unavyotaka kuyasema. Ikiwezekana zungumza maneno unayoyaishi; watu wako sio tu tunakusikiliza, tunaku-feel na kukuangalia.
Mfano umeambatanishwa chini!
#KujuaNiSayansiKujulikanaNiSanaa
#MwanasiasaBrand
Ujumbe wa Kamala uko very clear (and deep of course)
1. Nimepigania ndoto yangu, na Joe kaitimiliza (heshima/shukrani kwa boss)
2. Watoto wa kike; kama mimi, mnaweza! (Kutia moyo jamii)
3. Kwa jamii yote, inawezekana (Branding USA as a land of possibilities)
Kutana na #KijanaMakini Uswege Pamoja na Zaituni, Wana Taarifa Makini kwa Vijana Makini wote.
Wasikilize kisha pakua Makini App kupitiaa Google play store Sasa!!
Link ππππππ
https://t.co/VwqzDUdrSG
@TumeUchaguziTZ@IRI_Africa@IRIglobal
Ni kawaida kuwa mtu/kitu kinachokuvutia; lakini mara nyingi huwa tunajisahau... Katika kutafuta kuwa sawa na kile kitu, tunatafuta kuwa sawa sawa!
Unaweza kuwa sawa, lakini sio sawa sawa na wengine!
#Connecting#MAIConsultancy
Kujua na kujilikana sio kitu kimoja au sawa... Unaweza ukajua sana na usijulikane, unaweza kujulikana sana na usiwe unajua... Unaijua nguvu yako iko wapi? #Connecting#MaiConsultancy
A very interesting point of view and a challenge to local talents.... May be we have what it takes, may be we donβt... but are we willing to make these opportunities count? Beyond opportunities, are we willing to tell our own stories? #Connecting#MAIConsultancy
When UNICEF needed photos from Asia, Africa, and Latin America, did they hire local photographers in each place?
No, they commissioned an Australian man living in New York.
Why? This story (a 3-minute read) takes a look. https://t.co/BV0oDjYbSX
Kipi bora? kununua vocha kidigitali au kwa mama mmoja pale kitaa? Au kati ya urahisi au hatima ya maisha ya muuzaji wa kitaa, unachagua kipi? #NunuaKuinuaKitaa#BuyForImpact#AnhaaKumbe
Karibuni katika kipindi cha #VijanaNaAmani leo kupitia mtandao wa Zoom.
Mada:
"Kuelekea uchaguzi mkuu 2020; Nini kifanyike ili kuongeza ushiriki wa Vijana, Wanawake na watu wenye ulemavu katika ngazi za maamuzi?"
Jisajili kushiriki π
https://t.co/F3cNPni2It
#VijanaNaAmani