@JumaMahuba@Kisirani3@swahilitimes Kwamba China upande WA gari ndogo ni hyo foton ambayo zinafanana na fortuner polis ndio wamepewa
Lakin hii habari ya China kuongoza ni mauzo ya zile gari kubwa nyingi kuanzia mabasi yutong, zongton Yale maroli ya faw, shackman, how, foton
CODE YA LEO: Almonds + Tende + Ndizi Mbivu+ Parachichi+ Maziwa mtindi & Karanga Mbichi 🍆💦
Kuna viini lishe zaidi ya 12 kuimarisha afya yako ya uzazi (Testesterone hormone) Virutubisho vya asili kutoka sokoni.
"Kwanini uingie gharama kununua Supplements bidhaa..?"
Mwili wako unauwezo mzuri waku jitengenezea Virutubisho kutoka kwenye chakula unacho kula kila siku. ZINGATIA CODE.
@TBoundBuses @Jonijo_Freshest Just imagine Dom anaingia saa Tatu mpaka 4 usiku akati Hap nation na kapricon zinapita Dom saa 12 jioni au saa moja kuelekea Dar na zote zilitoka pamoja kipindi kile zinatoka asubui
@TBoundBuses @Jonijo_Freshest Hii route angeweka gari nzuri angekua anapiga pesa kimya kimya Ila saivi hatuzipandi maana allys kaweka chuma kweny hyo route anaenda mpaka mpanda kwahyo tumeamia allys mapema Tu ushafika tabora
Ukiwa na mtoto mdogo mfungulie account shambani, Chukua hekari Unazoweza mpandie miti ya mbao ya kuvuna hata miaka 10 au 15 ijayo, Mfano mitiki, Utakua umemuekea hazina ya maana Sana
#ClimateAction