Marekani wakiamua lao huwazuii. Wakati mnahamasisha vijana wajikite kwenye content creator wakitegemea malipo ya Monetization.
Vikwazo vinakuja vya kuondoa Monetization kwa Content creators wa Tanzania kwenye Platform za Marekani.
Vijana wataandamana kama Wale wa Nepal.
Jana Muliro alikuwa mahakamani akizuia watu wasiingie kwenye kesi ya Lissu.
Muliro amefikia umri wa kustaafu. Ila haoni sababu ya kuishi na watu vizuri.
Aliwatishia hadi Mawakili kuwa wawe kimya ili waishi.
Amejipa mamlaka ya kuamua nani aishi nani afe.
Haina shida!
MKE WA RIO (JOYCE WOWOWO) anasema alimwambia jamaa ASIPOST.
RIO anasema HAKUNA wakumpangia nini afanye na nini asifanye.
Siku 1 - press moja- moja haikai mbili haikai. 😅
MATAKO MAKUBWA (JOYCE WOWOWO) Linapenda sana kujipa umuhimu na ulimi mzito kama NDOPE YA NYATI.🚮
Pumbavu kabisa, mmekuja na mbinu mpya ya kuomba watu watulie ili mtafune nchi
Mzee kibao alikuwa anafanya siasa gani ngumu?
Polepole alikuwa na siasa gani ngumu
Gwajima mnayewinda kila siku ana siasa ngani ngumu?
Lukuzi na Jenister walikwua na siasa ngumu zozote ?
Kipanya kupiga picha msafara mkamteka
Mwambe mmemteka majuzi tu hapa na alikuwa waziri kupitia CCM kuna siasa gani nguvu pale?
father kitima mliyetaka kuua je?
kumbe mnafikiria tutakuwa mafala ndio mpango wenu mnateka watu na kuleta vitisho kwamba watu waache kukosoa na kufikiria kwa uhuru hili mtafune nchi?
chimbeni makaburi ya kutosha Watanganyika walipigania uhuru , Watanganyika watapigania kuwa huru tena hakuna kurudi nyuma
Hatuwezi kuwa na jeshi la polisi ambalo kazi yake ni pamoja na kufira na kulawiti watu kwa maelekezo ya Mafwele. Huu sio upolisi. Ni usenge! Lazima tuukomeshe!
BREAKING NEWS : Mbunge wa Gairo Ahmed SHABIBY ameweka wazi leo Bungeni kuwa atagombea Urais ndani ya CCM mwaka 2030, na kuna mbunge mwenzake amemuahidi kuwa atakua Makamu wake (Bado sijalipata jina)
Shabiby moja ya vipaumbele vyake ni kutokomeza rushwa
‼️ALERT‼️🚨
Baada ya jaribio lao la kutaka kumteka na kumpoteza Msaidizi wa Mhe. Lissu, kaka @daviddjumbe
Abdul na genge lake kupitia Jeshi la Polisi wamepanga mpango wa kuigeuzia kesi CHADEMA na David Jumbe.
Jana Jeshi la Polisi kupitia Faustine Mafwele, walisema kwamba wanafanya Uchunguzi ili kubaini wahusika wa tukio la kutekwa David Jumbe, lakin cha kuchekesha ni kwamb sasa hivi wamepanga kuja na Report ambayo itaonyesha kwamba CHADEMA ndo ilihusika kumteka Jumbe ili kuichafua Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama.
Kuna media wamezipa pesa kwa ajili ya kuwasaidia kufanya spinning kwenye jambo hili so kuanzia leo mtawaona baadhi ya Watangazaji wanajifanya wanakuja na uchambuzi wa tukio la kutekwa Jumbe lakini Uchambuzi huo utakuwa ni wakupindisha ukweli wakidhan kwamba kwa kufanya hivi ndo kutawasaidia kujisafisha ili ionekane kwamba wao hawahusiki na matukio ya kuteka na kupoteza watu.
Yani hawa wapuuzi wanateka na kupoteza watu baada ya kuambiana ukweli kwamba waache haya maujinga yao ya kuteka, kupoteza na kuuwa watu, wao wanatafuta watu wa kuwaangushia lawama.
Uzuri Watanzania wa leo sio wajinga, wanajua mbivu na mbichi so hata muhanagaike vipi kupindisha ukweli ila watu wanajua kwamba Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama ndo inahusika na matukio ya watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa.