Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili nchini Saudi Arabia kuhudhuria mkutano wa Kilele wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Riyadh tarehe 10 Novemba 2023, kujadili masuala ya ushirikiano kwenye sekta za biashara, uwekezaji, utalii, kilimo, nishati na madini.