RAIS SAMIA AIPONGEZA SIMBA SC
โPongezi kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya CS Sfaxien. Mnaendelea kutupa Watanzania furaha na burudani kwa kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu kimataifa, huku tukiendelea kubaki wamoja...
KAMPENI YA 'MAMA SAMIA LEGAL AID' MKOANI MOROGORO
Kampeni ya 'Mama Samia Legal Aid Campaign' imezinduliwa rasmu mkoani Morogoro Disemba 12, 2024.
Lengo ni kuwa na jamii yenye haki, usawa, amani na maendeleo katika Taifa letu.
wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala, na masuala yahusuyo haki za binadamu kwa ujumla.
Uzinduzi huo umefanyika Disemba 12, 2024 ambapo wananchi watapatiwa huduma ya msaada wa Kisheria bure kwa muda wa siku(10) katika Wilaya mbalimbali
๐ธ UZINDUZI WA KAMPENI YA 'MAMA SAMIA LEGAL AID' MKOANI MOROGORO
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro akiwasili katika tukio la uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani ambayo imezijikita kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi
@IAMartin_ ๐ Location: Dodoma: Round About ya Shabiby Karibu na Malaika Bar.
SAANGAPI POINT DRY CLEANERS WATAALAM WA KUFUA NA KUNYOOSHA NGUO ZA AINA ZOTE, CARPETS, DUVETS, MAPAZIA NA VIATU
WANAYO TEKNOLOJIA MAALUM YA KUONDOA CHUMVI KWENYE MAJI NA KUFANYA NGUO ZAKO KUTOPAUKA
0783170002
VIDEO: SERIKALI YAKANUSHA UPOTOSHAJI WA KUKWAMA KWA MAJARIBIO YA MASHINE #JNHPP
Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ameeleza kuwa majaribio yote ya kihandishi yaliyofanyika katika Mradi wa kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) yamekwenda vizuri.
Leo Januari 5, 2024 Taifa Digital imefuatilia suala hilo na kujiridhisha kwamba, Hivi karibuni katika Mradi wa Kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) yalifanyika majaribo mawili ambapo Jaribio la kwanza ni lilihusu Main Inlet Valve (MIV) ambalo lilifanyika kuanzia tarehe 11/12/2023 na kumalizika tarehe 20/12/2023 bila kuwa na changamoto yoyote.
โขJaribio la pili lilikuwa la kuwasha mashine โRunnerโ ambalo lilianza kufanyika tarehe 15/11/2023 na limekamilika leo tarehe 05/01/2024 bila hitilafu yoyote.
#TaifaDigitalUpdates
JERRY MURO: BILA R4 ZA RAIS SAMIA HATUTAFIKA POPOTE
Akitoa maoni kama mdau mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika Ukumbi wa Msekwa, Jijini Dodoma
aliyekuwa DC Arumeru na Ikungi Jerry Muro amewataka Watanzania kuwa na mshikamano ili kujenga Taifa imara kupitia Falsafa Nne (4R) za Rais Samia Suluhu Hassan ()
Amesema "R4 za Mhe Rais ndiyo zimetukutanisha hapa, leo tunashuhudia Vyama vya Siasa vinafanya mikutano ya Siasa [...].
Tunayo mifano ya Nchi jirani, walipata Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi lakini chaguzi zao mbili (tumefuatilia) zilikuwa na kasoro kwa sababu ya changamoto zilizojitokeza wakati wa maridhiano".
Katika Mkutano huo Watanzania 376 wamejiorodhesha kutoa maoni yao kuhusu Miswada minne (04) iliyopo mbele ya Kamati ambayo inahusu Sheria ya Vyama vya Siasa (2023), Sheria ya Tume ya Uchaguzi (2023), Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani (2023) na Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 5 wa mwaka 2023.
#MaoniYaWadau #MiswadaYaSheria.
#BreakingNews
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU.
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinatarajia kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honorary Degree of PH.D) ya usimamizi wa Utalii na Masoko.
Halfa hiyo inatarajiwa kufanyika Visiwani Zanzibar leo Desemba 28, 2023 kuanzia saa 3:00 asubuhi.
JE, UNATAMANI KUMALIZA MWAKA 2023 KWA FURAHA?
Kiwanja pekee cha Burudani msimu huu wa Christmas ๐ ni Swahili Experience- Coco beach โฑ๏ธ Dar es Salaam.
Misosi ya maana, Vinywaji, Live music/band huku ukipulizwa na upepo wa Bahari ya Hindi.
๐#Saa72zaBurudani ๐
๐ STENDI YA MAGUFULI DAR HAIJABADILISHWA JINA
Hivi karibuni akaunti mbalimbali za Mtandao wa X zilichapisha taarifa zinazohoji sababu za kubadilisha jina la Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli kilichopo Mbezi Jijini Dar es Salaam. Jambo ambalo lilileta sintofahamu kwa baadhi ya wananchi.
Taarifa iliyotolewa leo na @HabariLeo imeeleza kuwa hakuna mabadiliko yoyote ya jina yaliyofanyika katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli. Isipokuwa ilitumika picha isiyo sahihi pasipo kukusudia wakati chombo hicho kilipochapisha taarifa kuhusu mapato ndani ya kituo hicho Desemba 16, 2023.
#TaifaDigitalUpdates #MagufuliBusTerminal
TANZANIAN GOVERNMENT RESPONSE TO INACCURACIES IN REPORTS ON ARRESTS OF CRIMINAL SUSPECTS IN TANZANIA
It has come to my attention that some organisations - local and international - have been issuing statements with factual inaccuracies and gross misrepresentation of facts about the recent arrests of three individuals in Tanzania alleged to be involved in criminal conduct.
Akimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Jukwaa la Kimataifa la Uchumi na kibinadamu Nchini Urusi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Rais wa Shirikisho la Urusi, Vladimir Putin baada ya Ufunguzi wa Jukwaa hilo Julai 27, 2023. #Majaliwa#Putin
Prime Minister of Tanzania KASSIM MAJALIWA shaking hand with the President of the Russian Federation, VLADIMIR PUTIN after the Opening of the International Economic and Humanitarian Forum at the Expo Forum Conference and Exhibition Center, St. Petersburg- Russia, on July 27, 2023