@ComradeKawaida Komredi, Marekebisho ya Katiba kuanzia Urais mpka Mwenyekiti wa Kitongoji. Embu waza kama ninavoiona Tz njema endapo kila Mgombea wa Urais,Ubunge Udiwani na Uenyekiti wa Kitongoji/kitongoji. Mshindi wa Urais vema ni Rais wetu ,waliofatia kwa kura zisizpungua laki5
@abissay_stephen Hakupiga filimbi katika makosa yote yaliyojitokeza? Acheni tabia zenu za spinning za kijinga, Ref has 5 option on game management 1. Filimbi kwa kosa, Filimbi kwa kosa linalojirudia kwa muhusika mmoja, 3. Filimbi na Onyo kali la Mdomo, 4Filimbi na Onyokali la Njano5. KadiNyekundu
@raiyajenerali Wazo lako ni MUJARABU, linafikirika,latekelezeka, mfano Simba Day, kiingilio ni mahsusi kama D- Day ya Simba Legends ambao wanapitia magumu, Fungu hilo likitolewa kila mwaka hakika tutakuwa tumewatendea haki sana. Ninelipokeaaaa
Dressing code yake, alichoanza nacho ktk kuongea na Taifa, ujenzi wake wa Hoja, na hitimisho lake ni "UKAMILIFU WA MKUU WA NCHI NA KIONGOZI WA TAIFA, tumuombee, asiondoke ktk mstari huu alioanza nao leo, ikibidi tuanze sisi kumfanya atabasamu kwa imani na utayari wetu kupokea n
Wito umetolewa kwa wananchi kupuuza taarifa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni unaolenga kuchochea chuki na mgawanyiko miongoni mwa Watanzania.
Wito huo umeenda sambamba na kutahadharisha kuwa baadhi ya watu wanatumia mitandao ya kijamii kusambaza propaganda zenye nia ya kuharibu umoja na amani iliyopo nchini.
Aidha, wananchi wamehimizwa kutumia mitandao kwa ajili ya kujenga, kushirikiana, na kulinda maslahi ya taifa.
Kupitia Mitandao ya Kijamii hasa Mtandao wa X (zamani Twitter) baadhi ya Watu wakiwepo wanaojiita Wanaharakati wameonekana wakisambaza picha zenye mfumo wa “screenshot” kumuhusisha ndugu Abdul Ameir Wakimuhusisha na vitendo vya uvunjifu wa maadili na kutumia Lugha chafu kuandika jumbe mbalimbali, taarifa ambazo ni wazi zinalenga kupotosha umma.
Wanaosambaza upotoshaji huo asilimia kubwa ni wale ambao wamekuwa wakiipinga Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo wanafanya hivyo wakiwa na lengo la kuichafua Serikali kutokana na kuhusisha taarifa hizo na mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan.
🔰IJUE ILANI
Ilani ya CCM 2025-2030 Sura ya pili ukurasa wa 30
CCM itajenga kiwanda cha ujenzi wa meli chenye uwezo wa kuhimili meli zenye uzito wa tani 5,000 katika Ziwa Tanganyika
#kazinaututunasongambele#oktobatunatiki✅✅
🔰IJUE ILANI
Ilani ya CCM 2025-2030 Sura ya pili ukurasa wa 30 CCM itajenga meli ya mizigo itakayofanya safari kutoka Mtwara kuelekea Comoro ikizingatiwa Nchi ya visiwa vya Comoro inategemea bidhaa kutoka Tanzania, kujengwa kwa meli hiyo itasaidia kuinua usafirishaji
@absakibanda@ccm_tanzania KAKA UMENENA VEMA SANA, ITIKADI,ELIMU NA UENEZI WA CCM ni pamoja na Memba wote kuishi kwa vitendo muelekeo mmoja kimaadili na uwajibikaji,iko haja CPA aiangalie Logo yetu, aanzie hapo ,kuna shida wafanyakazi na wakulima kutoamini kuwa chama hiki ni chetu na sisi tu wa kukilinda
@zittokabwe Eti MAJIMAJI...Mdogo wacha mazoea na HILA zina mwisho. Leo umeonyesha ulivokomaa ktk ghiriba na ufedhuri,Wee huna tofauti na Hassan Sabah wa Great Seljuk,HILA HILAA SASA Unaibagaza MAJIMAJI.