Tunaishi Kwenye Dunia Ambayo Ukiwa Huna Kitu Ndugu, Jamaa Na Marafiki Hawaoni Thamani Yako Na Wengi Wao Wanakutenga, Ukipata Unapendwa Na Ukiwazidi Wanakuchukia…….✍🏽
@malusu00 Dada uzuri wa mwanaume mzuri upo kwako,epuka kufanya comparison, na ndoa ni yenu si ya watu.muhimu mapenzi kwanza ata akiwa Chongo mradi mnapendana inapendeza na wengine watatamani