@Isayadicksonjr na hili liko Wazi sema nchi yetu mambo mengi mazuri sana yako kwenye makaratasi hayako kwenye implementation but hiyo ilikuwa wazi na ilipaswa kuwa hivyo for all sectors nchini
@MahamudMgunda@VitusNkuna hawajasombwa na Magari hao ,Kuwe na mazingira safi ya siasa kabisa Tume iwe huru yaani Neutral huwezi kuamini mpaka walioko CCM watachagua hiki chama naongea kama mwanaccm Na ni kiongozi mahali ila kwa ajili ya ukweli nakwambia jamaa wanapendwa mpaka na watoto wa shule za msingi
@mananajr_ Sijawahi kuwatafuta watu na hata wazazi wangu tu niliwashirikisha mama wageni kwa kuwaambia naoa yaani Taarifa siyo kuwauliza na kila kitu kuanzia mahali mpaka sherehe naam mke wangu ananipenda sana na kwa sasa nina watoto 2 no problem