Updates!
Bado bei za Mazao (Moja kwa Moja kutoka kwa Mkulima) ni zilezile!
🔸 Maharage ya njano – gunia la kilo 100.8 linauzwa kwa Shilingi 150,000 (laki moja na nusu).
🔸 Maharage mekundu – gunia la kilo 100.10 linauzwa kwa Shilingi 110,000 (laki moja na elfu kumi).
🔸 Mahindi – gunia la kilo 115.50 linauzwa kwa Shilingi 40,000 (elfu arobaini) na kwa ujazo wa debe 6 no shilingi 35000.
🔸 Mpunga – gunia la debe saba linauzwa kwa Shilingi 80,000 (elfu themanini).
Hizi ni bei za sasa, moja kwa moja kutoka kwa mkulima!
Mkulima kama huna deni na huna haraka sana na hela tunza mzigo wako hizi bei si rafiki📌
Jana Bongo Zozo alikutana na @davidmcallister ambe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje wa @Europarl_EN walizungunza kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo issue ya Mhe. Lissu pamoja na Ukiukwaji wa Haki za Binadamu ambao Nduli Idd Amin Mama alifanya Oktoba 29.
Tunakaba kila kona
Hua naulizwa sana kipi kina faida kati ya hizi biashara 3;
1.Kulima mpunga na kuuza as mpunga/mchele 55%,
2.Kununua mpunga na kuuza as mpunga/mchele 65%,
3.Kununua mchele go down na kuuza as mchele 80%,
Hizo options zote zina faida bt zinataka uwe ktk game walau 5yrs
Sio porn niliyoshindwa kuacha.
Ni discomfort sikuweza kuvumilia.
Nilipoelewa hilo, ndipo maisha yangu yalianza kubadilika.
Hii ni story yangu jinsi gani niliacha porn (nyeto) nikiwa teenager:🧵⤵️
MBEYA: Mwananchi akiuliza swali akiwa katika Mkutano kati ya Vijana na Viongozi wa Dini kuhusu Haki na Amani Ulioandaliwa na Kamati ya Dini mbali mbali (ISCEJIC) kufuatia Matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025.
Mkutano ulifanyika Aprili 16, 2026 ukiongozwa na Sheikh Khamis Mataka wa BAKWATA na kuhudhuriwa na viongozi wa Dini mbalimbali akiwemo Mchungaji Modest Pesha wa CCT.
Zaidi https://t.co/f4Thyj4qXm
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMatukio
Huyu Bongo Zozo sio Mtanzania lakin ni mtu ambae anaelewa maumivu na mateso ambayo Watanzania tunapitia, hawezi kufumbia macho udhalimu wa Idd Amin Mama.
Mungu amlinde aisee maana ni wachache sana wenye moyo kama wake.🙏😭