@YoungAfricansSC Kila mdau humu ajitahidi kureport @Sirjeff_D kwa jeshi la polisi Tanzania @tanpol kuhusu utapeli wa huyu mdau hapa X tuendelee kuwa makini jamaa kwa jina la SIRJEFF anaendelea kutapeli watu humu X
@Sirmin_ijeghaa@Sirjeff_D Kamandaa huyu jamaa apelekwe polisi aache ujinga anakuja na motivation zake at the end of the day ni scammer huwa naona n vi group vyake vya forex ila huyu kamandaa ni tapeli
@Sirmin_ijeghaa@Sirjeff_D Huyu kamandaa aache ujinga na ujuaji wa kipuuzi arudishe pesa za watu, tajiri gani tapeli mtu anasema ana IQ kubwa IQ kitu gani wakati ni utapeli mtupu kule JF aliliza watu akahamia huku Twitter
@Sirjeff_D Sababu za inflation
- Uchapishaji mkubwa wa pesa bila kuzalisha Mali(That's why walituletea crypto 2009 kuondoa hii issue)
- Kuongezeka kwa gharama ya uzalishaji
- Kuongeka kwa mahitaji ya bidhaa au huduma
- Thamani ya sarafu kushuka