Maisha ya #hustle hayana shortcut.
Leo pengine hakuna mteja, hakuna pesa, hakuna mtu anayeona.
Ila wewe endelea kujenga kimya kimya.
Mti mkubwa huanza na mbegu ndogo. Usikate tamaa.
@IAmHaule 2. *"Hustle ni kuwa na mpango"* - Hii ndio tofauti. Bila direction unazunguka tu kwenye tatizo lile lile.
3. *"Maumivu pekee hayakufanyi utoboe"* - Ukweli mtupu. Maumivu bila hatua = bado utabaki pale.
@IAmHaule Umenena kweli kabisa. Umevunja uongo mkubwa ambao watu wengi wameamini.
*Nilichokipenda zaidi:*
1. *"Kuteseka sio sawa na kuhustle"* - Boom. Watu wengi wanajivunia mateso lakini hawajengi chochote.
Hivi ndivyo DUNIA inavyotangaza habari za TANZANIA.
Wakati vyombo vya habari vya ndani vikikwepa kuongelea kabisa habari kama hizi dunia imeendelea kutangaza UHALISIA kama hivi.
Hii inamaanisha hata bila MEDIA za bongo dunia itaona na itasikia HABARI ZA UHALISIA wa yanayoendelea TANZANIA.
Repost 500
TUTAKUWEPO🫵😎
Sijui nani anafaa kusikia hili but.
Katika upambanaji kuna jambo hatulizungumzii lakini uhalisia wake uko wazi sana. Uhalisia wenyewe ni swala zima la UJUZI.
Watu wengi maisha yanatutesa kwa sababu ya kutokuwa na ujuzi pamoja na kukosa mwamko wa kujifunza.
Mimi naamini ukiwa na ujuzi hakuna namna unaweza kuteswa na haya maisha but serikali na dunia haijatuweka wazi.
Wenzetu china huko ma Japan wanawekeza sana kwenye UJUZI wanaunda vitu mbali mbali mpaka wanatajirika.
Ukija bongo.
Dogo yupo 15 anatembeza njugu na hasomi.
Yupo car wash na hasomi.
Utaosha gari au kutembeza karanga mpaka lini?
Lakini, vipi dogo akiingia kwenye ufundi wowote at 15 kwa miongozo bora ya wazazi anapofika 23 kama mtu anaemaliza degree anakuwa na level gani?
Haya, unafika 23 unajiwekeza kwenye boda na hakuna motive yoyote ya kuwa bora zaidi ya hapo.
Sasa utakuwa boda mpaka unafika miaka 70 kaka?
Vipi ukiwa.
Fundi wa magari.
Fundi wa boda.
Fundi furniture.
Dereva wa magari.
Fundi umeme wa majumbani.
Fundi umeme wa magari.
Fundi umeme wa viwanda.
Fundi ujenzi.
Na mengine mengi, hauoni kama ni security tosha?
Kila mtu ana path yake lakini tujitahidi kuwekeza kwenye kuwa na ka ujuzi kokote jamani.
Mtu anamaliza chuo unaanza kutumiaka miaka mitatu kujitolea wakati ukitumia miaka mitatu gerage ya pikipiki na una degree uelewa ni mkubwa na unashika faster.
Basi hata kunyoa watu jamani nayo inakuchukua mwaka?
Tafuta UJUZI.
UJUZI unalipa kuliko TAALUMA.
Ukiwa na UJUZI unalipwa kabla ya kazi ila TAALUMA itafanya ulipwe baada ya kazi.
Mambo 10 ya Kuzingatia Unapopitia Magumu kwenye Maisha:
1. Kila jambo na wakati wake.
Leo haieleweki, kesho itakuwa poa.
Maisha ni milima na mabonde.
2. Kila gumu unalokutana nalo.
ni sehemu ya kujifunza.
Kila wakati chagua kujifunza.
3. Unapokuwa na wakati mgumu zaidi,
kumbuka kushukuru kwa neema,
uliyonayo. Shukuru kwa kila jambo.
4. Hata yawe magumu kiasi gani,
kumbuka kuishi.
Cheka na tabasamu, sio mwisho wa maisha.
5. Kwenye changamoto utajikuta uko peke yako.
Usitegemee sana msaada kutoka kwa watu.
Ukibaki peke yako usishangae. Komaa.
6. Wakati mwingine kukosa kile tunakitaka,
inaweza kuwa ni neema pia.
Mungu ana mipango yake.
7. Hata yawe magumu kiasi gani usiwahi kupoteza tumaini. Siku zote amini yataisha.
Tumaini ndi silaha ya ushindi.
8. Usijilaumu sana na kuona unastahili mabaya.
Kila jambo na sababu zake.
Utatoka ukiwa umeiva sana.
9. Kadri mambo yanavyokuwa tight,
kumbuka wewe sio wa kwanza.
vumilia.
10. Kumbuka: Dunia uwanja wa fujo.
Wewe sio special, wewe ni kama wengine.
Usilalame sana. Ndo maisha. Yatapita.
#Tutoboewote
Watu wa Mungu kumekuwa kimya sana lakini lazima nijipambanie bila kukata tamaa, hakuna ongezeko mpaka sasa naomba tuendelee kuchangia niweze kurudi kwenye matibabu India, 3,730,307 kati ya million 91,000,000.00 Bado million 87,269,693 ili kukamilisha kiwango kinachoitajika
@facebookinst1@ItsTemba Vipi kama lengo kuu ni kuambia/kuaminisha Umma. Kwamba Wanaharakati, Wanasiasa, Asasi za kiraia na Waandishi wa habari wakitaka kuingia Ngorongoro wanazuiwa kuripoti kinachoendelea. Kwa kitendo hicho Nani kafanikiwa hapo sasa?
@iamcleopatricia Kuna maandiko, Inasemekana alikuepo mwanamke inasadikika John ndio Mary Magdalene. Na wengine husema ukiacha 12 deciple kulikuapo na wengine “From the beginning, Jewish women disciples,including Mary Magdalene,Joanna,Susanna, and Salome had accompanied Jesus during his ministry.”
Leo asubuhi nilipoamka, na kuingia Twitter, nilikutana na tweet ya @iamKaga ambayo alielezea issue ya vyombo.
Na Mimi nikasema wacha niende nikashuhudie. Na nikivutiwa, nanunua kabisa.
Nilifika pale godown, na kweli nilivutiwa na vyombo vya pale. Kisha nikachukua vyombo vya 9kg