Mzee Wa Miaka 90 , Mzee JOHN OUMA ODERO Akabidhi Kiwanja Bure Kwa Chadema Na Kuomba Kiwanja Hicho Kijengwe Kwa Kuipa Chama Hadhi Katika Kata Ya Nyathorogo Wilaya ya RORYA..
Kiwanja Hicho Kimepokelewa na Mwenyekiti Wa CHADEMA Mkoa Wa Mara Mwl Chacha Heche Akiwa Kwenye Ziara Yake ya Baraza la Uongozi Mkoa wa Mara, Mwenyekiti Amesisitiza Kiwanja Hicho Kitajengwa Kwa Haraka na Jina la Jengo Hilo Litapewa Jina La Mzee Huyo Mzee JOHN OUMA ODERO.