Katika Kila Kazi au Majukumu Yako ya Kila Siku Jitahidi Kuwa na Neno "What if Happen" kwenye Hiyo Kazi au Hayo Majukumu Yako ili Ukiachishwa Hiyo Kazi au Majukumu Yako Yakibuma Uwe na Neno "Other Alternative" @eastafricatv
Moja ya COMMENT bora kabisa kutoka kwa mwananchi mtandao wa Instagram. Natamani watu wote TUSOME mpaka mwisho.👇🏾👇🏾
Anandika Mdau.
Kuna kila sababu ya Watanzania wote kuingia kwenye maombi kwa uzito mkubwa kuwaombea viongozi wetu
wanaobahatika kutuongoza ili Mungu
awape akili na busara za kuamua mambo.
lla Kama aina hii ya akili itaendelea kutuongoza tuna Safari ndefu Sana
Kama Taifa kufika kwenye Taifa la Haki.
Ushauri wang kwako Kaka mwanasheria mkuu (AG) jiulizeni kwanini Mange wananchi walio wengi wanamsapoti Sana yeye kuliko serikali?
Je anagawa pesa?
je anawalisha?
je wanamapenz binafsi na Mange?
Sasa kwanini wanamsikiliza wanatii
anachosema kuliko kuitii serikali yao?
Mkiweka hasira pembeni mtajua kiini Cha
tatizo ni Nini, but to me ata mange mkimkamata wataibuka wakina MANGE wengne.
Thus is why kudeal na kila anaeikosoa serikali haiwezi kuwa solution ya kudum ya kuwanyamazisha Watanzania, solution apa ni kudeal kwa kusikiliza wananchi walio wengi wanataka nini, ili Mange akose Cha kuongea arudi kwenye kazi yake ya zamani ya umbea.
serikali au viongozi mnampa Cha kusema kwa utendaji wenu mbovu. jirekebisheni
tuone atatoa wap Cha kupost—vingnevyo mtaua wengi mtateka wengi,
mtabambikizia kesi watu wengi mchume
dhambi bure mbele za Mungu, maana wakosoaji ni wengi, magereza
hazitatosha, mkisema muue basi nchi nzima itanuka damu.
Tutangulize kwanza hofu ya Mungu mbele then atatupa akili na hekima za kiuongoza bila hata ulazima wa kumwaga damu za Watanzania.
MWISHO.
Repost
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
What the fuck🥶🥶🔥🔥🏆✅✅
78M cashout or be patient for 110M ????🤷♂️
The way am happy right now drop your aza asap.
Crediting for the first 100 retweets and likes.
Love you guys🎯🤲🏾🤲🏾
Jeshi la Polisi - Mwanza limekanusha taarifa za kumkamata Katibu wa BAVICHA - Mwanza, Amani Manongelo 14.02.25, Misungwi, Mwanza. Kwa mantiki ndogo ni kwamba, Polisi wamesema hawajamkamata. Hivyo Amani katekwa na kapotezwa. Hii ni taarifa mbaya. Hali ni hatari. Utekaji ni ushamba
HAWA VIBAKA NI WAOGA SANA. @tanpol
Kesho mwanza inaenda kusimama. Hakuna SHUGULI itafanyika, HAKUNA UTULIVU utapatikana mpaka mtuambie Amani Manengelo YUPO WAPI?
Mpaka sasa taarifa zilizopo ni nyie VIBAKA @tanpol ndio mmemteka KATIBU WA BAVICHA mkoa wa MWANZA.
Hatuwezi kukaa kimya kwenye hili, tulimpigania LISSU awe kiongozi wa CHAMA ili aje kuwa SAUTI ya kukemea mambo ya KISHENZI kama haya.
Sasa VIONGOZI wa CHADEMA MWANZA wameitisha maandamano ya AMANI kesho, vaa SHIRT NYEUPE shika BIBLIA yako au QURAN yako kisha wote UELEKEO kwa mkuu wa MKOA ambae ndie MWENYEKITI WA ULINZI Na usalama wa MWANZA.
Kesho MWANZA ITASIMAMA, TUTAHAKIKISHA tunatuma UJUMBE kwa WAKOLONI WEUSI na kuwaambia kuwa “UTEKAJI SASA SIO OPTION.”
Wana MWANZA HAKUNA KURUDI NYUMA, MKIONA VIBARUA VIMEANZA MAPEMA HIVI MJUE SINDANO IMEFIKA KWENYE MFUPA.
KESHO MWANZA NZIMA ITAKUWA BARABARANI KUMDAI MTOTO WAO, sio kishari ni kwa amani tuu.
SAMBAZA TAARIFA HII IFIKIE WANA MWANZA POPOTE WALIPO.🚨🚨
REPOST 200🔥🔥🔥📌📌