Ooh mliwafunga wakiwa pungufu mara goli la penati haya sasa Hold that . NNE hizo au na hizi zina kipengele ? ๐๐
SISI HAO .!
Sasa ile fanbase ichague wenyewe wanataka bingwa awe United au Spurs ? Hapa ndio Ugali moto , Mboga moto ๐๐
We are happy to meet again with the fans of Young Africans ๐๏ธ
Tunayo furaha kukutana tena na mashabiki wa Young Africans ๐๏ธ
ู ู ุงูุณุนุงุฏู ุงููุง ุณููุชูู ู ุฑุฉ ุงุฎุฑู ุจุฌู ุงููุฑ ูุงูุฌ ุฃูุฑููุงูุฒ ๐๏ธ
#TotalEnergiesCAFCC | #Almasry | #timuyawananchi
Kwenye taarifa kwa UMMA ya Makolo inasema โmsafara wetuโ na ile BM ilibeba wachezaji? Dereva anaulizwa umebeba nini? Anajibu nimebeba wazee kutoka kambini, akaulizwa kwani wazee wana mazoezi leo? Akasema mi sijui, nimekodiwa tuu. Mara sauti za mbuzi na kuku zinasikika. Oyaaa ๐๐