@hisnamefreddie Ukimaanisha kwamba wanaume tunapata usingiz mara tu baada ya round 2, na kuwa sasa unakuja na dawa ya kumaliza hili tatizo. Nikosoe km siko sahihu
@FIRSTHOLINESS Huyo mtendaji wa kijiji ni mmoja wa wahanga kutoka katika mfumo huo huo kandamizi ambao yey pia ni sehu yake. Ni pale unapoona kuwa mfumo unakupa favor kila siku hadi pale unapokugeuka
@MissChelsea1221 Huo msemo nimeukubali sana. Unahamasisha sana, meaning japo wydad sio wepesi lkn kwa mbabe wa porini lazma alale chali haijalishi nchi uraiani au msituni ๐ช๐ช๐ช
@FluentInFinance For many many years I was looking for guy like you and you came. Next time come with more details on combination of index() and match() I really dont get them clear together