@George_Ambangil 🤣🤣 tunacheza hatuna right back, left back, defensive midfilder unategemea nini kipya? Wamekoma barcola dirisha lote la usajili wakati timu ina shida kubwa zaidi kati na fullbacks
@gratian_barbosa watu wako serious wanajenga timu maeneo yenye shida , sisi dirisha linakaribia kufungwa story ni barcola, wakati timu haina beki za pembeni wala kiungo 😭