Alicho kifanya Ally's Star Mwanza - Dar es salam ni kama wale wanawake wambea. Anakusanya umbea halafu anaumsambaza kwenu anawachonganisha mkianza kusutana na kupigana yeye anakaa kando anawaangalia.
Kawapambanisha Wakurugenzi halafu yeye kakaa kando anawaangalia tu๐. Akili.