@Octavianlasway Hapo ni 50/50 kimtazamo kila mtu ili awe bora zaidi hulazimika kuendana na mazingira yanauitaji gani mfano nchini kwetu Africa lazima uende na nyakati uweze kuwa bora zaidi lakini kwa wazungu hasa hawa Royal Families huweza kuyatimiza haya maana wazazi wao walishatengeneza miaka
@GoodluckVSdream @kigogo2014 Kuwa na Wasomi wengi kuna faida sana mzee we Cheki Naijeria watu wanaumiza akili kwenda hata mbele kupambana na kusaka ela kupitia elimu zao na sio kuganda nyumbani tu