Sababu kubwa za kwanini sio sahihi kwa shabiki wa Manchester United kuiita timu “Man U” kama Bio inavyoeleza.
Retweet ujumbe ufike mbali.
Fans wajue 😎👇🏻
… Ukipata nafasi ya kujiombea omba Mungu akupe jicho la kujitathimini Mwenyewe, Ujue kuhusu ubinafsi wako,
Ujue kuhusu unafiki wako, Na ujue hata chuki zako kabla hujawanyooshea vidole wengine.
Jitafakari peke yako.