@fumbokhanJr Ishu ya mchezaj kwenda raja or wydad kwa sasa wala sio habar , Bas tu ni vile tumekalili kwamba kwa waarabu kuna ela na wakubwa...
Ligi ya bongo n kubwa na baadh ya team zinamaslai zaid ya huko nje. TUNAKARIRI (MCHEZAJI AENDE NJE)

Ligi ya bongo imeshakua kubwa na inalipa vizuri, Tusikariri Mchezaj kwenda morocco ndy kufanikiwa kisoka.
Wachezaji wa ligi zao wanataman kuja kucheza bongo