@privaldinho je goli la kibu liliokataliwa nalo halikupaswa kuwa goli maana kipa hakugusa mpira mara mbili zote!! uwe unatenga walau dakika 3 za kuangalia mpira kwa wenzetu ulaya ukimaliza kufuatilia mambo ya simba itakusaidia kuacha mitazamo yako ya kijinga kama haya