1 Wakorintho 10:11–12
"Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tulioufikilia mwisho wa nyakati."
"Kwa hiyo yeye adhaniye kwamba amesimama na aangalie asianguke."
Sitokuja Kusahau Hii Wakati Nikiwa Form 1 Kuna Siku Niliingia Darasa La Form 4 Kuna Jamaa Akaniambia Nichore Kuku Kwenye Ubao Halafu Nimfukuze Aondoke 😭
YAFANYIE KAZI MAWILI HAYA
Usiwasaidie Watu ili wakusifie na usiwasifie ili wakusaidie
Saidia kwaSababu ni jambo sahihi kufanya,Si kwaSababu unataka kusifiwa
Msifie Mtu kwaSababu anastahili,Si kwaSababu unataka kitu kutoka kwake
Usifanye Wema kua Biashara ya kubadilishana Faida
Mchizi kaondoka kwa shemeji yake. Anakwambia jamaa ana roho mbaya sio kitoto
Daily visa pale home ili jamaa achoke asepe. Mara amkaze dada mtu kwa nguvu ili mchizi aumie 😹🚮
Unaambiwa usiku mchizi wetu hapati mbonji kabisa ni “ ooooh shit aaaaah! Babe irudishie izame “🙆🏽♂️😹🚮
Nguvu ya neno la Mungu hubadilisha mawazo,huponya moyo uliovunjika,na huleta amani hata kwenye changamoto.Kadri unavyolijaza moyoni, ndivyo hofu,mashaka na kelele za dunia zinavyopungua.
"Na amani ya Mungu ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu.” Wafilipi 4:7