How Many Followers Do You Want?
100 Retweets = 100 Followers ๐
200 Retweets = 200 Followers ๐
300 Retweets = 300 Followers ๐
400 Retweets = 400 Followers ๐
500 Retweets = 500 Followers ๐
Reply with "Rise" and Follow all That Like ur Reply ๐
Letโs Grow Together ๐ โ
Klabu ya Aston Villa inaamini kuwa kulingana na kiwango kinachoendelea kuoneshwa na kiungo mshambuliaji, Jack Grealish kimempelekea kufikia thamani ya Pauni milioni 100. Grealish mwenye umri wa miaka 25 amekuwa akiwindwa na timu mbalimbali ikiwemo Manchester United.
CAF imetoa adhabu kwa Shirikisho la Mpira Gambia ambalo limetozwa faini ya $ 100k (Sh 231 milioni) kwa kosa la kufanya vitendo visivyo vya kiungwana, kutowapa mapokezi mazuri timu ya Gabon pindi ilipotua nchini mwao kucheza mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za AFCON.
"Sijawahi kumfikilia Messi kama adui yangu, anajaribu kucheza kwa ajili ya timu yake, kama ilivyo kwangu mimi. Ni mchezaji bora na hatujawahi kuwa na tatizo lolote, haya mambo yanatengezwa na baadhi ya watu." Christiano Ronaldo
#VIDEO : Mbunge wa Kilwa, Mhe. Francis Ndulane akishindwa kula kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli, leo Disemba 9, 2020.
#VIDEO : Mbunge wa Kilwa, Mhe. Francis Ndulane akishindwa kula kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli, leo Disemba 9, 2020.
"Tutaandaa utaratibu maalum utakaohakikisha Washabiki wote 30,000 watakaoingia uwanjani katika mechi ya marudiano (vs Plateau United) ni Washabiki wa @SimbaSCTanzania" @HajiManara, Msemaji wa Simba SC.
Msemaji wa @RuvuShooting, Masau Bwire amesema mtu yeyote anaruhusiwa kwenda uwanjani kuzomea au kushabikia timu yoyote, hiyo ndio maana ya ushindani na upinzani. "Yeyote aruhusiwa kuingia kushangilia na kumzomea, hii ndiyo maana ya ushindani na upinzani, popote Duniani".
Rais Dkt. @MagufuliJP ameahirisha maadhimisho ya 59 ya Uhuru wa Tanzania Bara ya 9 Desemba 2020 na kuelekeza fedha Sh.835.4 milioni zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya sherehe hizo zitumike kununulia vifaa mbalimbali kwenye Hospitali ya Uhuru jijini Dodoma.
โWasanii ni watu wakubwa, wasichukuliwe poa ikiwemo kuwafungia ovyo kazi zao bila kuwataarifu. Unakuta watu wametumia gharama kubwa kutengeneza wimbo au filamu halafu anaamka asubuhi anasikia kiongozi anautangazia umma eti anafungia kazi fulani, hii haikubaliki,โ Dkt. Abbas.
โWasanii ni watu wakubwa, wasichukuliwe poa ikiwemo kuwafungia ovyo kazi zao bila kuwataarifu. Unakuta watu wametumia gharama kubwa kutengeneza wimbo au filamu halafu anaamka asubuhi anasikia kiongozi anautangazia umma eti anafungia kazi fulani, hii haikubaliki,โ Dkt. Abbas.
Mchezaji wa Club Brugge, Emmanuel Dennis hakucheza katika mchezo wa jana wa dhidi ya Dortmund kwa sababu hakuweza kukaa mahali alipotaka kwenye basi la timu ambalo lilipelekea yeye kupigana na wachezaji wenzake imeripotiwa kuwa Dannis alitaka kukaa seat ya dirishani
Mawakala na wapiga debe wa stendi kuu ya Mabasi Makambako, Njombe wamekamatwa na Polisi kufuatia malalamiko ya abiria kwa Chama cha kutetea abiria Tanzania (CHAKUA) kuwa kumekuwa na vitendo vya unyanyasaji unaofanywa na Mawakala na wapiga debe hao kwa kuwageuza abiria kama bidhaa
RC wa DSM, Aboubakar Kunenge, amewaelekeza wakazi wa eneo la Kunduchi Mtongani, ambao nyumba zao zimepitiwa na ujiuji wa volcano ya tope linalofuka kutoka ardhini, kuhama ili kujikinga na maafa wakati serikali inaendelea kufanya utafiti wa kujua ukubwa wa eneo lililoathirika.
"Wasanii wa singeli wanapenda sana kuvimba yani tunavimbi sana, mtu akipata jina kidogo basi anajiona yeye ndio yeye huo ni ushamba, tubadilike tuwe kitu kimoja tufanye kazi kwa upendo. Ni wasanii wachache sana wanaopenda wengi wanachukiana" Vanella Cheuse Msanii wa Singeli.