@SuluhuSamia Nikupongezee Sana Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kumaliza ziara ya siku tatu jijini Mwanza NI ziara ambayo imekuwa na mafanikio makubwa ya uwekaji mawe ya Msingi kwa Ajiri ya miradi mikubwa kwa Mwanza na Tanzania kwa ujumla,umeonyesha Nia njema Sana
Vijana lakini pia vifaa hivi vitauzwa kwe Bei nafuu kwa vituo vyetu vya kutolea huduma.
Wapo pia vijana wanaojishughulisha na uchumbaji wa Dhahabu wajiunge wakopeshwe mitungi ya kusaga mawe ya Dhahabu itakayowasaidia uzalishashaji KULIKO ilivyo Sasa wanachimba mawe ya Dhahabu na
Maisha ni vita isiyomalizika hivyo ni namna
Wewe ulivyojipanga na kujipambanua katika
Kutumia fursa unazokutana nazo
Kukabiliana na changamoto, vikwazo na pengine vitisho
@MsigwaPeter Unataka na wewe ukale Bata Ikulu,au wewe ulikosa fursa ya kula Bata unaona wivu kwa Pastor Mwenzio ,huko NI kutopenda wengine wapate fursa
@SuluhuSamia@KagutaMuseveni Hongera Sana Mhe. Raisi wa JMT ni hatua nyingine ya kulisogeza TAIFA ki uchumi.
Mwenyezi Mungu aendelee kukupa Afya na nguvu ya kuendelea kuwatumikia Wanajamhuri.
@ummymwalimu
Mhe. WAZIRI Tamisemi NI kweli kwamba NI ngumu kwa sababu ndiyo sehemu ambayo watu wanafanya kazi kwa mazoea na ndiko sehemu ambayo watu wanaamini Sheria zilizopo serikali kuu wao haziwahusu
@HKigwangalla Mhe.Hapo ndo utagundua haijalishi watu umefanya mangapi mazuri mwisho wa siku wanasubiri anguko lako bila kujali umefanya mazuri mangapi kwa Ajiri yao.
Habari za mchana wana Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Kwa kutambua umuhimu wa kulijenga Taifa langu la Tanzania nimechukua na kurejesha fomu kwa Ajiri ya kuomba ridhaa kwa chama Cha MAPINDUZI kuteuliwa kupeperusha bendela kwa nafasi ya UBUNGE Jimbo la Msalala.
Nina hakika siyo rahisi mtoa huduma akamkataa mgonjwa,kilichopo kwa sasa kila mtu ana hofu ya maisha kutokana hii changamoto ya mlipuko wa ugonjwa ,watoa huduma wanajituma kutibu critically patients ambao hata ndg inawezekana wanakuwa wamekata tamaa lakini providers wanapambana.
@MSalimu @umwalimu Inatisha hii hali. Kawaida hakuna hospital inayomkataa mgonjwa hata siku moja kama hali imefikia hapa basi wahudumu wetu wa afya wana hali ngumu ambayo kwa vyovyote vile imesababishwa na mwajiri wao
Mi ninashauri katika kupambana hili janga kuanzia leo hii,kigezo cha kutoka nje ya nyumba unayoishi ni barakoa tofauti na hapo umechagua kubaki ndani,hii ni kwa nchi nzima na siyo Dar es salaam tu.