@Ngiripori@thomasjkibwana Kikatiba, Rais wa SMZ hawezi kukaimu Urais wa SJMT....VP anakaimu na kama wote hawapo basi PM anakaimu....wote watatu wakikosekana basi Waziri Mwandamizi na. 1 anakaimu...iliwahi kutokea kipindi cha JK. Zamani ilikuwa Spika anaweza kukaimishwa ila ikafutwa kwasababu ya mihimili
@Clinton75728311@AlexKabona@thomasjkibwana Hajawahi kutumia hiyo E4 hata kwa bahati mbaya ndiyo maana hata gari yake ilikuwa na utambulisho wa cheo chake tofauti na WM....
@AlexKabona@thomasjkibwana Mkuu sana.....mwisho wa hizo E ni E4 hakujawahi kuwa na zaidi ya hapo....na hizo ni kwa hao VIPs 4 ambao ni sehemu ya Cabinet...hao wengine wanakula ride na kibao full yaani ESCORT
The Vice-Chancellor of the University of Ghana ๐ฌ๐ญ, Prof. Nana Aba Appiah Amfo, stated that describing African languages or local dialects as โvernacularโ is disrespectful and undermines African culture.
@Mwa77031Rodrick@Thommunkondya Ukisems Mbeya unakosea sema Wilaya ya Mbeya ni ya wasafwa....maana Mbeya inahusisha Chunya, Mbeya, Mbarali, Rungwe na Kyela